Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo amchunia Coutinho

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Marcio Maximo. Na Omary Mdose
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho, amefunguka kuwa hajawa na mawasiliano na kocha wake wa zamani aliyekuwa anakikinoa kikosi hicho, Marcio Maximo ambaye ni Mbrazili mwenzake. Uongozi wa Yanga ulimfungashia virago Maximo mwishoni mwa mwaka jana kwa madai kuwa alishindwa kuijenga timu vizuri huku pia akipoteza mchezo wa Nani Mtani Jembe kwa mabao 2-0 dhidi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo amleta Coutinho Yanga

>Kocha mpya wa Yanga, Marcio Maximo amefungua ukurasa mpya na kipa Juma Kaseja na kuiaidi   kuing’arisha timu hiyo kimataifa kama ilivyo TP Mazembe, wakati kiungo Mbrazili, Andrey Coutinho akitua nchini jana tayari kujiunga na vigogo hao.

 

10 years ago

Mwananchi

Makoye amshauri Maximo kuhusu Coutinho

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye ‘Dogo’, amesema kocha Marcio Maximo anatakiwa kumpeleka ‘gym’ kiungo wake, Andrey Coutinho kwa kuwa hana nguvu za kutosha kupambana na mabeki wa Kitanzania. 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Coutinho chupuchupu Yanga

MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.

 

11 years ago

GPL

Tambwe amuonya Coutinho

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe (kulia).
Ibrahim Mussa na Nassor Gallu    
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe, anajua kwamba kuna Mbrazili, Andrey Countinho, ametua Yanga lakini akamtahadharisha kwamba akae akijua kuwa  kila mchezaji ana bahati yake uwanjani, hivyo asitegemee kuwafunika wenzake. Coutinho amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili na anacheza nafasi...

 

10 years ago

TheCitizen

Coutinho out of Dar derby

Young Africans will be without the services of their playmaker, Andrey Coutinho when they clash with arch-rivals Simba on Sunday.

 

11 years ago

Mwananchi

Coutinho amfunika Jaja

Kiungo mpya  wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho amemfunika mwenzake Genilson Santos ‘Jaja’ kwa umahiri wa kupachika mabao katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani