CD ya Hanspope yawachefua Simba
WAKATI sakata la kuzagaa kwa CD yenye mlengo wa kumpigia kampeni mgombea urais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, likizidi kushika kasi jijini Dar es Salaam, baadhi ya wapenzi na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Kerr ampa jukumu zito Hanspope Simba
NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, ameipa jukumu zito kamati ya usajili ya klabu hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti, Zacharia Hanspope, kuhakikisha wanasajili mshambuliaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Simba ina washambuliaji; Khamis Kiiza, Ibrahim Ajibu, Elias Maguli na Mussa Hassan ‘Mgosi’, lakini agizo hilo la kocha limetokana na ubutu ulioonekana katika timu yake.
Katika mchezo wake wa Jumamosi dhidi ya Sports Club Villa Uwanja wa Taifa, Simba...