Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yatoa taarifa kuhusu tozo kwenye simu

1

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Mkoma.

taarifa_kwa_UmmaGharama_za_Vifurushi_Feb_2015.pdf by moblog

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TCRA sasa yazijia juu kampuni za simu nchini kupandisha tozo

>Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka kampuni za simu nchini kufuata sheria wanapotaka kufanya mabadiliko ya tozo za huduma zao ili kutoleta mshtuko kwa wateja.

 

9 years ago

Global Publishers

TCRA Yatoa miezi Sita kuzifunga simu feki Tanzania

UTANGULIZI:

Vifaa vya mawasiliano vya mkononi – hususan simu za kiganjani na vifaa vya mawasiliano vya kiganjani (tablets) – vina namba maalum inayovitambulisha. Namba hiyo inajulikana kama IMEI ambacho ni kifupi cha International Mobile Equipment Identity.

Kifungu cha 84 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya 2010 kinataka kuwepo kwa mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi. Rajisi hii inajulikana kwa kiingereza kama Central...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA WAKURUGENZI (EWURA) YATOA UAMUZI KUHUSU MAOMBI YA TPDC YA TOZO ZA HUDUMA ZA KUCHAKATA NA KUSAFIRISHA GESI ASILIA

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa agizo kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) kuzingatia kanuni za ushindani pamoja na kuiarifu EWURA kila TPDC inapofanya manunuzi ya thamani yanayozidi dola za Marekani 5 Milioni.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Mkururugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),Felix Ngamlagosi amesema agizo hilo litaanza kutekelezwa kuanzia tarehe...

 

10 years ago

Bongo5

Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushi vya mawasiliano. Malalamiko hayo yalikuja baada ya baadhi ya mitandao ya simu kupunguza ukubwa wa data anazopata mtumiaji wa simu anapojiunga na vifurushi vya muda wa maongezi, sms na data kwa pamoja. Baadhi […]

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KWA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA KILIMO ARUSHA

Gari maalumu la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) likiwa kwenye uwanja wa maonesho ya Nanenane Njiro jijini Arusha,wananchi wanaotembelea banda la TCRA hupata elimu namna gari hilo linavyofanya kazi. 
Mmoja wa wananchi akipata maelezo kwenye banda la TCRA kwenye uwanja wa Taso ,Njiro jijini Arusha.Afisa wa TCRA,Oswald Octavian(kulia)akimweleza jambo namna taasisi hiyo inavyofanya kazi ya kusimamia mawasiliano nchini.

 

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

GHARAMA: ‘Tozo za huduma za simu hazizuiliki’

>Wakati Watanzania wakizidi ‘kutoboa’ mifuko yao kununua vifurushi vya kupiga simu na kutuma ujumbe wa mfupi, baada ya mabadiliko ya viwango vya huduma hizo, Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo imesema mabadiliko hayo hayazuiliki kutokana na changamoto za uwekezaji.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

CHADEMA YATOA ONYO KUHUSU MPANGO WA KUKATA MAWASILIANO YA SIMU NA MTANDAO WA INTANETI

Chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA pamoja na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wamesema kuwa upo mpango unaoandaliwa na chama cha mapinduzi kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha kuwa wanakata mawasiliano hasa ya mtandao kwa siku ya upigaji kura Tanzania,mpango ambao wamesema kuwa unasukwa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa hawana mawasiliano ya haraka kupenana habari za

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani