Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFAFANUZI KUHUSU TOZO KWENYE SEKTA YA TEHAMA NCHINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TCRA yatoa taarifa kuhusu tozo kwenye simu

1

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Mkoma.

taarifa_kwa_UmmaGharama_za_Vifurushi_Feb_2015.pdf by moblog

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Washiriki wa mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka uliowahusisha wakuu wa TEHAMA wa sekta mbali mbali nchini Kenya wakiendelea na Mkutano wao jijini Nairobi kujadili mambo mbalimbali na changamoto zake . Mkutano ukiendelea…

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Na Yusuph KileoKushirikiana katika maswala mbali mbali ili kuweza kufikia malengo ni jambo kubwa lililopata kusikika katika mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka unaoendelea nchini Kenya unaojadili changamoto mbali mbali za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. 
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu. 
Swala uhimu nililo jifunza ni...

 

10 years ago

Vijimambo

UFAFANUZI KUHUSU KASMA MAALUM YA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale amesema hakuna ufisadi wowote wala malipo tata yaliyofanywa na wizara ya ujenzi kwa makandarasi  na wahandisi washauri katika bajeti ya mwaka 2011/2012.

Eng. Mfugale amesema fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya kasma maalum ya ujenzi wa miradi ya barabara nchini kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 252 kilitumika  kulipa madai ya Makandarasi na Wahandisi washauri.

Eng. Mfugale amesisitiza kuwa Serikali inajenga barabara...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI KUHUSU KASMA MAALUM YA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale amesema hakuna ufisadi wowote wala malipo tata yaliyofanywa na wizara ya ujenzi kwa makandarasi na wahandisi washauri katika bajeti ya mwaka 2011/2012.
Eng. Mfugale amesema fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya kasma maalum ya ujenzi wa miradi ya barabara nchini kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 252 kilitumika kulipa madai ya Makandarasi na Wahandisi washauri.
Eng. Mfugale amesisitiza kuwa Serikali...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU USHIRIKI WA WANAJESHI kWENYE ZOEZI HILO

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa Wanajeshi katika  uboreshaji wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kupiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine.
Pia wanajeshi hao watasaidia katika shughuli za kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa yanayoweza kujitokeza wakati wa zoezi la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yahimiza Waandishi nchini kuandika habari kwa kubobea kwenye Sekta

nkamia+px

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia.

Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA

SERIKALI imewashauri Waandishi wa Habari nchini kuchagua na kubobea katika sekta mbalimbali maalum ili kuinua kiwango cha taaluma ya habari  na kuwapa wananchi taarifa muhimu kwa umakini zaidi katika nyanja husika ili kuleta maendeleo ya taifa.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Haroub...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani