Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFAFANUZI KUHUSU KASMA MAALUM YA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale amesema hakuna ufisadi wowote wala malipo tata yaliyofanywa na wizara ya ujenzi kwa makandarasi  na wahandisi washauri katika bajeti ya mwaka 2011/2012.

Eng. Mfugale amesema fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya kasma maalum ya ujenzi wa miradi ya barabara nchini kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 252 kilitumika  kulipa madai ya Makandarasi na Wahandisi washauri.

Eng. Mfugale amesisitiza kuwa Serikali inajenga barabara...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI KUHUSU KASMA MAALUM YA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale amesema hakuna ufisadi wowote wala malipo tata yaliyofanywa na wizara ya ujenzi kwa makandarasi na wahandisi washauri katika bajeti ya mwaka 2011/2012.
Eng. Mfugale amesema fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya kasma maalum ya ujenzi wa miradi ya barabara nchini kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 252 kilitumika kulipa madai ya Makandarasi na Wahandisi washauri.
Eng. Mfugale amesisitiza kuwa Serikali...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI AIPONGEZA JICA KWA UFADHILI WA MIRADI MBALIMBALI YA BARABARA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kushoto), akimkabidhi zawadi ya kumbukumbu Mwakilishi Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Yasunori Onishi, ofisini kwake jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini.Mwakilishi huyo ameishukuru Wizara ya Ujenzi kwa ushirikiano aliopata katika kipindi chote alichohudumu nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwakilishi Mkuu mpya wa...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AZINDUA MIRADI SITA YA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO KATIKA JIJI LA DAR

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba- Tangi Bovu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Mwananchi

TZ yafanya vizuri miradi ya barabara nchini

Tanzania imetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) ambayo inafanya vizuri katika kusimamia na kutelekeza miradi ya barabara, hususani mradi wa barabara za mfano (Pilot Project) ambao ulianza nchini mwaka 2007 .

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani