Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya Serikali Mtandao inavyoleta thamani ya uwekezaji kwenye TEHAMA nchini

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATAKA MAONI YA SHERIA YA MTANDAO

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa Na Jonas Mushi, Dar es Salam SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu. Kauli hiyo imetolewa jana jijini...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO wakabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa Serikali nchini

IMG_8554

Mkuu wa Ofisi  na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa wadau wa sekta ya elimu wakati wa hafla ya kukabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi  wa vyuo vya ualimu nchini kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Katikati ni mgeni rasmi Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome....

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaendelea kutoa elimu ya Sheria ya makosa ya mtandao kwa Maafisa Habari

9

Mkurugenzi msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa akifurahia jambo na Mkuu wa Masuala ya Siasa na Habari wa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) nchini Tanzania  Bi Luana Reale wakati wa warsha ya Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 (cybercrime Act 2015. iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.(Picha zote na Frank Mvungi-Maelezo).

 

9 years ago

Dewji Blog

Ipitie Hotuba ya kuanza rasmi kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandao hapa nchini

unnamed (22) Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (Mb), akiongea na waandishi wa habari kuhusu kuanza kutumika rasmi kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao na ya Miamala ya Kieletroniki za mwaka 2015. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bwana John Mngodo

Ndugu Wandishi wa Habari,  Mabibi na Mabwana,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa...

 

10 years ago

Mwananchi

Uwekezaji mdogo wazorotesha maendeleo ya Tehama

Uwekezaji mdogo na ukosefu wa vifaa na wataalamu ni miongoni mwa sababu inayochangia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) nchini kushindwa kufanya vizuri.

 

5 years ago

Michuzi

BENKI KUU YA TANZANIA YAELEZA FAIDA ZA UWEKEZAJI KWENYE DHAMANA ZA SERIKALI

BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imeeleza azma yake ya kuendelea kuhamasisha taasisi za Umma, wawekezaji binafsi pamoja na kuweka jitihada za kuwawekea mfumo wawekezaji wadogo katika mwitikio wa uwekezaji wa dhamana za Serikali ambao una faida hasa katika kuongeza kipato na kutopoteza Fedha inayowekwa.

Akizungumza leo jijini Arusha katika semina inayotolewa kwa waandishi wa habari za Uchumi na Fedha, Meneja wa Idara ya Masoko na Fedha wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), Lameck Kakulu amesema kuwa...

 

5 years ago

Ykileo

UKUAJI WA MATUMIZI YA TEHAMA WAONGEZA UHALIFU MTANDAO

Mataifa mengi yameendelea kuwekeza katika sekta ya TEHAMA ili kurahisisha huduma mbali mbali kwa jamii za mataifa husika – Ikiwa ni pamoja na mawasiliano, huduma za Afya, kifedha na hata usafirishaji ambapo TEHAMA imekua ikitumika kwa kiwango cha juu zaidi tofauti na miaka iliyopita.


---------------------

UPDATE:Apple has addressed a glitch that caused some iPhones to unexpectedly start auto-correcting the letter "i" to a capital "A" and a question mark.

--------------------


Kuwepo na Kinacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani