SERIKALI YATAKA MAONI YA SHERIA YA MTANDAO
![](http://api.ning.com:80/files/SSGieiaE-NPnsTsCRQIuuX397KBLUzVlm6Q-vwOb51wykTrwKeg5YTaLeFLfz4RzbSXvYg63D7JWv5VzVVkEx1EDXL2JlC6D/KampunizasimuzaagizwakupelekahudumavijijiniTBCApril212015.jpg?width=650)
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa Na Jonas Mushi, Dar es Salam SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha. Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu. Kauli hiyo imetolewa jana jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania09 May
Serikali yataka maoni sheria ya mitandao
Na Jonas Mushi, Dar es Salam
SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, katika mkutano wake na waandishi wa habari...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/DhqZQQXz7XM/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Serikali yaendelea kutoa elimu ya Sheria ya makosa ya mtandao kwa Maafisa Habari
Mkurugenzi msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa akifurahia jambo na Mkuu wa Masuala ya Siasa na Habari wa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) nchini Tanzania Bi Luana Reale wakati wa warsha ya Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 (cybercrime Act 2015. iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.(Picha zote na Frank Mvungi-Maelezo).
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
VijimamboKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBAâ€
KITUO cha Sheria na Haki za...
10 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA
11 years ago
Habarileo15 Jun
UN yataka sheria za misitu kusimamiwa
KAMATI ya Misitu Duniani (COFO) chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) imeshauri kutekelezwa kwa usimamizi wa sheria za misitu kuepuka uharibifu wa mazingira ambao unaendelea kuleta madhara makubwa kwa binadamu na viumbe hai.
11 years ago
Mwananchi01 Apr
LHRC yataka Katiba ije na Sheria ya Ardhi
5 years ago
Habarileo16 Feb
Bodi yataka dola kusimamia sheria ya ujenzi
MWENYEKITI wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi (AQRB), Dk Ambwene Mwakyusa amewaomba makamanda wa polisi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kusimamia Sheria Namba 4 ya Mwaka 2010 inayohusu masuala ya ujenzi.