KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO
.jpg)
Na Yusuph KileoKushirikiana katika maswala mbali mbali ili kuweza kufikia malengo ni jambo kubwa lililopata kusikika katika mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka unaoendelea nchini Kenya unaojadili changamoto mbali mbali za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu.
Swala uhimu nililo jifunza ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO
5 years ago
YkileoKENYA: WAKUU WA TEHAMA WAKUTANA
KWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya.-------------------------------
Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa utendaji wenye manufaa kwa wana TEHAMA maeneo mengi barani Afrika.
10 years ago
YkileoMKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA WAMALIZIKA NCHINI KENYA
Aidha, Nilipata pia kuzindua kampeni ya Mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao na kuweza...
10 years ago
Michuzi
FC KILIMANJARO YAWABAMIZA WATANI WA JADI KENYA 6-1 KWENYE MECHI MAALUM YA AMANI NA UPENDO JIJINI STOCKHOLM, SWEDEN

Mechi hiyo iliandaliwa kwa pamoja na Balozi za Kenya na Tanzania nchini Sweden kwa kushirikiana na wanadiaspora wa nchi hizo kwa madhumuni ya kuonyesha mshikamano na kuziombea nchi zetu amani na upendo kufuatia matukio ya kigaidi...
11 years ago
Michuzi28 Jul
11 years ago
Michuzi.jpg)
KABLA YA KUANZA KWA MTANANGE WA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA-SOMO LATOLEWA KUHUSU MALARIA NO MORE
.jpg)
10 years ago
Michuzi13 Nov
WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO NCHINI
.jpg)
.jpg)

10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Pambano la watani wa jadi,Simba kidedea
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Pambano la watani wa jadi homa juu