Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA WAMALIZIKA NCHINI KENYA

Kwa mara nyingine CSK kwa kushirikiana na wadau wengine wamefanikiwa kuandaa mkutano ulio husisha wakuu wa TEHAMA ambapo mambo mbali mbali yalipata kujadiliwa. Katika mkutano huo ambapo Binafsi nilikua  Mwalikwa Rasmi ambapo pamoja na mambo mengine niliweza kutoa mafunzo ya namna ya kufanikisha upelelezi wa kitaalam wa uhalifu mtandao pamoja na hali halisi ya uhalifu mtandao duniani kote.


Aidha, Nilipata pia kuzindua kampeni ya Mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao na kuweza...





Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Washiriki wa mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka uliowahusisha wakuu wa TEHAMA wa sekta mbali mbali nchini Kenya wakiendelea na Mkutano wao jijini Nairobi kujadili mambo mbalimbali na changamoto zake . Mkutano ukiendelea…

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Na Yusuph KileoKushirikiana katika maswala mbali mbali ili kuweza kufikia malengo ni jambo kubwa lililopata kusikika katika mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka unaoendelea nchini Kenya unaojadili changamoto mbali mbali za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. 
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu. 
Swala uhimu nililo jifunza ni...

 

11 years ago

Ykileo

MKUTANO WA GURU WA TEHAMA WA NCHINI KENYA WAIMIZA KUSHIRIKIANA


Kushirikiana katika maswala mbali mbali ili kuweza kufikia malengo ni jambo kubwa lililopata kusikika katika mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka unaoendelea Nchini Kenya unaojadili changamoto mbali mbali za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu.


Swala uhimu nililo jifunza ni jinsi uhalifu...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA - RADIO ONE

Baada ya kumalizika kwa mkutano wa Viongozi TEHAMA Nchini Kenya Vyombo kadhaa vya habari vimepata Kunihoji ikiwa ni pamoja na Radio One - Kupitia African Panorama.Ambapo nimetolea ufafanuzi wa key take a ways kwenye mkutano na hasa kubobea kwenye eneo langu la utaalam ambapo ndio mijadala niliyo jadili - Usalama mitandao.

 

5 years ago

Ykileo

KENYA: WAKUU WA TEHAMA WAKUTANA



KWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya.

-------------------------------


Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa utendaji wenye manufaa kwa wana TEHAMA maeneo mengi barani Afrika.


Mjadala ulioangazia umuhimu wa udhibiti na uangalizi wa watendaji katika sekta ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA 16 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI NAIROBI,KENYA, KATIKA PICHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi jijini Nairobi kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwindikiza na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi walipokutana jijini Nairobi kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za...

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI

Rais wa serikali ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya bunge kupitisha mswaada inaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji wa Ikulu ya Rais Manoah Esipisu, tume ya maadili na kupambana na ufisadi, itaendelea na kazi yake licha ya kusimamishwa kwa wakuu hao wawili. Wakuu hao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa 3 wa wakuu wa nchi za Afrika mashariki (EAC) jijini Nairobi, Kenya

9

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa 3  tatu wa wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) kuhusu miundombinu, uliofanyika katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi jana  Novemba 29, 2014. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Novemba 29, 2014 aliiwakilisha Tanzania katika mkutano wa siku moja wa Wakuu wa Nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani