Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA EAPCCO WA WAKUU WA UPELELEZI KUFANYIKA NCHINI



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) tarehe 25 Mei, 2015 kuhusu Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2015 kuhusu masuala ya amani na usalama nchini Burundi. Mkutano huo ambao umeitishwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya EAC, Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri.Mhe. Membe...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola kufanyika jijini Dar es salaam

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Umma Bwana Hab Mkwizu (katikati) akizungumza na wanahabari jana (leo) jijini Dar es salaam , juu ya Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 13 hadi 15 mwezi huu. Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano Serikalini Florence Temba (kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali watu...

 

10 years ago

Ykileo

MKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA WAMALIZIKA NCHINI KENYA

Kwa mara nyingine CSK kwa kushirikiana na wadau wengine wamefanikiwa kuandaa mkutano ulio husisha wakuu wa TEHAMA ambapo mambo mbali mbali yalipata kujadiliwa. Katika mkutano huo ambapo Binafsi nilikua  Mwalikwa Rasmi ambapo pamoja na mambo mengine niliweza kutoa mafunzo ya namna ya kufanikisha upelelezi wa kitaalam wa uhalifu mtandao pamoja na hali halisi ya uhalifu mtandao duniani kote.


Aidha, Nilipata pia kuzindua kampeni ya Mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao na kuweza...

 

11 years ago

Michuzi

mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar

Mheshimiwa Dk. Binilith Mahenge Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira ametoa rai kwa Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuweka juhudi katika kupambana na changamoto za mabadiliko ya Tabia Nchi.
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi lawajengea uwezo wakuu wa upelelezi

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu, amewataka Wakuu wa Upelelezi wa mikoa na wilaya, kufanya kazi kwa ufanisi na weledi ili kuzitatua changamoto zinazojitokeza katika jamii, hatua ambayo itasaidia kuutokomeza uhalifu na wahalifu.

 

11 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWAJENGEA UWEZO WAKUU WA UPELELEZI WA MIKOA NA WILAYA

Na Demetrius Njimbwi – jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu, amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Wilaya, kufanya kazi kwa ufanisi na weledi ili kuzitatua changamoto zinazojitokeza katika jamii yetu hatua ambayo itasaidia kuutokomeza uhalifu na wahalifu.
Kauli hiyo ameitoa mjini Dodoma, jana wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Wakuu wa Upelelezi wa mikoa na wilaya, mafunzo ambayo yatawajengea uwezo wa kiutendaji katika kukabiliana na uhalifu na...

 

11 years ago

Michuzi

JK arejea nchini baada ya kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika mjini Malabo Equtorial Guinea

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Ilala Mhandisi Raymond Mushi akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Malabo Equtorial Guinea ambapo alikwenda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(AU) uliomalizika jana.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange Picha na Freddy Maro

 

9 years ago

Michuzi

Kuweka Umeme Afrika: Mkutano kufanyika Tanzania kujadiliana kuhusu mageuzi katika sekta ya kawi Nchini


 Mkutano wa kila mwaka wa Kuwezeka umeme Afrika: Kongamano la Uwekezaji la Tanzania litafanyika Hyatt Regency Dar es Saalam, Hoteli ya Kilimanjaro kuanzia 3-4 Desemba 2015 
Mkutano ule utalenga siku za usoni za sekta ya kawi ya Tanzania kufuatia uchaguzi wa hivi majuzi, kutambua nafasi za uwekezaji na kubuni maushurikiano  muhimu kati ya wahusika kutoka sekta ya kibinafsi na ya umma. 

Dhibitisho za hivi karibuni za January Makamba, Mbunge wa Bumbuli, Tanzania, waakilishi kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani