Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KENYA: WAKUU WA TEHAMA WAKUTANA



KWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya.

-------------------------------


Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa utendaji wenye manufaa kwa wana TEHAMA maeneo mengi barani Afrika.


Mjadala ulioangazia umuhimu wa udhibiti na uangalizi wa watendaji katika sekta ya...





Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Washiriki wa mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka uliowahusisha wakuu wa TEHAMA wa sekta mbali mbali nchini Kenya wakiendelea na Mkutano wao jijini Nairobi kujadili mambo mbalimbali na changamoto zake . Mkutano ukiendelea…

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Na Yusuph KileoKushirikiana katika maswala mbali mbali ili kuweza kufikia malengo ni jambo kubwa lililopata kusikika katika mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka unaoendelea nchini Kenya unaojadili changamoto mbali mbali za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. 
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu. 
Swala uhimu nililo jifunza ni...

 

9 years ago

Ykileo

MKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA WAMALIZIKA NCHINI KENYA

Kwa mara nyingine CSK kwa kushirikiana na wadau wengine wamefanikiwa kuandaa mkutano ulio husisha wakuu wa TEHAMA ambapo mambo mbali mbali yalipata kujadiliwa. Katika mkutano huo ambapo Binafsi nilikua  Mwalikwa Rasmi ambapo pamoja na mambo mengine niliweza kutoa mafunzo ya namna ya kufanikisha upelelezi wa kitaalam wa uhalifu mtandao pamoja na hali halisi ya uhalifu mtandao duniani kote.


Aidha, Nilipata pia kuzindua kampeni ya Mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao na kuweza...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA - RADIO ONE

Baada ya kumalizika kwa mkutano wa Viongozi TEHAMA Nchini Kenya Vyombo kadhaa vya habari vimepata Kunihoji ikiwa ni pamoja na Radio One - Kupitia African Panorama.Ambapo nimetolea ufafanuzi wa key take a ways kwenye mkutano na hasa kubobea kwenye eneo langu la utaalam ambapo ndio mijadala niliyo jadili - Usalama mitandao.

 

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York  Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ambao nchi zao zinachangia wanajeshi au Polisi katika operesheni za kulinda Amani chini ya Umoja wa Mataifa, wanakutana hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa katika mkutano unaoelezwa kuwa wa kihistoria.  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake amewasili jijini New York siku ya Jumatano tayari kuhudhuria na kushiriki mkutano huo ambao utafunguliwa siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA POLISI WAKUTANA MKOANI DODOMA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa kuingia ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi...

 

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA TAASISI ZA TAKWIMU WA NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR

th6Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) nchini Tanzania Dkt.Albina Chuwa akifungua Kongamano la Kimataifa kuhusu Uongozi na utawala la wataalam na Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi za Afrika zinazozungumza lugha ya Kiingereza na Kifaransa leo jijini Dar es salaam. Kongamano hilo la siku 2 linajadili namna Bora ya uendeshaji wa Taasisi za Takwimu na namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za masuala ya Takwimu Barani Afrika.
th5Mtendaji Mkuu wa  Taasisi ya  Takwimu ya Bara la...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU TCRA MHANDISI JAMES KILABA, WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI WAKUTANA JIJINI DAR KUWEKA MKAKATI WA KUFANIKISHA TUZO ZA TEHAMA

 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini wakati wa kikao kazi. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba akizungumza leo Machi 5 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam wakati akifungua kikao kazi kati ya TCRA na wahariri pamoja na waandishi waandamizi wa vyombo vya habari nchini. Sehemu ya wahariri wakionesha moja ya kipeperushi chenye picha ya tuzo wakati wa kiikao hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)...

 

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRICA WAKUTANA JIJINI ARUSHA.

Wakuu wa taasisi za kuzuia Ruswa barani Africa wamekutana  katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.
Wakuu hao ambao ni wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa barani Afrika AUABC iliyopo chini ya jumuia ya muungano wa nchi za Afrika ambapo mwenyekiti wa Taasisi ya AUABC Jaji Daniel Batidam amesema kuwa wanatarajia kwa mkutano huu utasaidi kupunguza makali ya Ruswa ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani