Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York  Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ambao nchi zao zinachangia wanajeshi au Polisi katika operesheni za kulinda Amani chini ya Umoja wa Mataifa, wanakutana hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa katika mkutano unaoelezwa kuwa wa kihistoria.  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake amewasili jijini New York siku ya Jumatano tayari kuhudhuria na kushiriki mkutano huo ambao utafunguliwa siku ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda akiwa  katika Mkutano wa Kumi wa  Maspika  Wanawake uliofanyika kwa siku mbili  hapa  Umoja wa Mataifa, Mkutano wa Maspika Wanawake, umetangulia Mkutano wa Nne wa Maspika zaidi ya 180 unaoza leo jumatatu hapa Umoja wa Mataifa.Sehemu ya  Wajumbe wa Mkutano wa Kumi wa Maspika  wanawake,   mkutano  uliojadili mbinu za kuchagiza  usawa wa kijinsia, miaka 20 baada ya Beijing pamoja na  kuhakikisha utekelezaji  wa malengo 17  ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda akiwa  katika Mkutano wa Kumi wa  Maspika  Wanawake uliofanyika kwa siku mbili  hapa  Umoja wa Mataifa, Mkutano wa Maspika Wanawake, umetangulia Mkutano wa Nne wa Maspika zaidi ya 180 unaoza leo jumatatu hapa Umoja wa Mataifa.Sehemu ya  Wajumbe wa Mkutano wa Kumi wa Maspika  wanawake,   mkutano  uliojadili mbinu za kuchagiza  usawa wa kijinsia, miaka 20 baada ya Beijing pamoja na  kuhakikisha utekelezaji  wa malengo 17  ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa Mataifa ya Kusini mwa Bara la Afrika SADC wafunguliwa leo Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufunga Mkutano wa 17 wa siku mbili wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa Mataifa ya Kusini mwa Bara la Afrika SADC – SAC uliomalizika Zanzibar Beach Resort.Kamanda wa Majeshi ya Anga wa Jamuhuri ya Botswana Meja General Mashinyana akitoa shukrani kwa niaba ya wenzake waliotoka nje ya Tanzania kutokana na ukarimu walioupata Zanzibar wakati wa Mkutano wao wa Sadc – Sac.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa...

 

11 years ago

GPL

TUTANDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI - TANZANIA

Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza wakati wa  ufunguzi wa semina ya siku moja kuhusu ujumuishwaji katika mchakato wa  uboreshaji wa  taasisi za usalama (SSR), semina hiyo ya siku moja  ilifanyika siku ya jumanne katika  Uwakilishi wa Kudumu wa  Japan katika Umoja wa Mataifa na iliandaliwa kwa ubia kati ya Japan, Tanzania na...

 

11 years ago

Michuzi

TUTENDELEA KUSHIRIKANA NA UMOJA WA MATAIFA KATIKA ULINZI WA AMANI-TANZANIA

Na Mwandishi Maalum Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kwamba itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa na Jumuiya za Kikanda katika jitihada za urejeshwaji na uimarishaji wa mazingira ya amani na usalama katika nchi zenye migogoro.   Kauli hiyo imetolewa na Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi, Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja iliyoandaliwa...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TAASISI ZA UMOJA WA MATAIFA NCHINI WAKUTANA NA DKT. SHEIN,IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mweenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania Alvaro Rodriguez akiongoza ujumbe wa Wakuu wa Taasisi za Umoja wa Mataifa wenye Ofisi zao Nchini Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kuonana na Rais. Rais wa Zanzibar na Mweenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wakuu wa Taasisi za Umoja wa Mataifa wenye Ofisi zao Nchini Tanzania walipofika...

 

9 years ago

Michuzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi alivyoshiriki zoezi la usafi Lugalo, Jijini Dar

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), Mkuu wa Brigedi ya Chui, Brigedia Jenerali Sharif Othman (kushoto) pamoja na Maafisa na Askari wakishiriki zoezi la usafi katika kambi ya Lugalo, jijini Dar es Salaami wakati wa kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru kama alivyoagiza Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli

 

5 years ago

BBCSwahili

China na India: Kwanini majeshi ya mataifa haya mawili yamekuwa yakikabiliana?

India na China, mataifa mawili yenye idadi kubwa ya watu duniani , zikiwa na majeshi makubwa na silaha za kinyuklia zimekuwa zikikosona kwa wiki kadhaa katika jimbo la Himalaya.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WIZARA YA ULINZI NA JKT JUU YA UZUSHI KUHUSU AFYA YA MKUU WA MAJESHI

 KUMEKUWAPO UVUMI WENYE KUUPOTOSHA UMMA KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NCHINI AMENUSURIKA KIFO BAADA YA KUWEKEWA SUMU KATIKA CHAKULA NA HIVI SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN ILIYOPO NAIROBI, NCHINI KENYA, HUKU WENGINE WAKIDAI KUWA YUKO NCHINI INDIA KWA MATIBABU. 
TAARIFA HIZO NI UONGO WENYE KILA DALILI YA KUTENGENEZWA KWA LENGO LA KUWATIA HOFU WATANZANIA JUU YA USALAMA WA KIONGOZI HUYU WA JUU WA MAJESHI YETU.

UKWELI NI KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE NI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani