MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZMP3d4u4wT8/VeQIHtZkDVI/AAAAAAAH1K8/5DITY-acCMQ/s72-c/20806842438_1c4f3f68cd_z.jpg)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda akiwa katika Mkutano wa Kumi wa Maspika Wanawake uliofanyika kwa siku mbili hapa Umoja wa Mataifa, Mkutano wa Maspika Wanawake, umetangulia Mkutano wa Nne wa Maspika zaidi ya 180 unaoza leo jumatatu hapa Umoja wa Mataifa.
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa Kumi wa Maspika wanawake, mkutano uliojadili mbinu za kuchagiza usawa wa kijinsia, miaka 20 baada ya Beijing pamoja na kuhakikisha utekelezaji wa malengo 17 ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZMP3d4u4wT8/VeQIHtZkDVI/AAAAAAAH1K8/5DITY-acCMQ/s72-c/20806842438_1c4f3f68cd_z.jpg)
MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZMP3d4u4wT8/VeQIHtZkDVI/AAAAAAAH1K8/5DITY-acCMQ/s640/20806842438_1c4f3f68cd_z.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZvrR2_Ohcfc/VeQIHobPn0I/AAAAAAAH1Kw/Hn_NoLZou-s/s640/20374306973_b5f24fd1d9_z.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-G6jewoasusE/VDg8cczXevI/AAAAAAAGpCs/7xTkemtKCzw/s72-c/1%2B(1).jpg)
Tanzania yawakilishwa katika Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mjini Geneva,Uswis
![](http://4.bp.blogspot.com/-G6jewoasusE/VDg8cczXevI/AAAAAAAGpCs/7xTkemtKCzw/s1600/1%2B(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_xGa8-cIkZA/VDg8cVQFuII/AAAAAAAGpCw/h5Sh0GrgQLs/s1600/2%2B(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SjtOoHa3_Dc/VDg8kjS8_qI/AAAAAAAGpDA/jozNcwkAS-I/s1600/5%2B(1).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XUtb2jobgh8/VRON2KNlFTI/AAAAAAAHNRM/qNW8KWtxxG8/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hSs4j1oXgwc/VN4I3MkRQPI/AAAAAAAHDiw/9c1AmpVGxy0/s72-c/IMG_5614.jpg)
UJUMBE WA TAASISI ZA UMOJA WA MATAIFA NCHINI WAKUTANA NA DKT. SHEIN,IKULU ZANZIBAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-hSs4j1oXgwc/VN4I3MkRQPI/AAAAAAAHDiw/9c1AmpVGxy0/s1600/IMG_5614.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2jiP5_XACnI/VN4I3bH2Z6I/AAAAAAAHDi4/Qh_ztm9itVI/s1600/IMG_5626.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ud0rD4TThlo/VmA1C8oK4qI/AAAAAAAIKBw/rwfxnAT9F2A/s72-c/20151203_105716.jpg)
Balozi Mero ashiriki Mkutano mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Viwanda Duniani (UNIDO) unaofanyika Vienna, Austria
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ud0rD4TThlo/VmA1C8oK4qI/AAAAAAAIKBw/rwfxnAT9F2A/s1600/20151203_105716.jpg)
Katika hotuba yake, Mhe. Balozi Mero, pamoja na mambo mengine...
9 years ago
MichuziMAAFISA WAANDAMIZI KUTOKA MABUNGE YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA KUBADILISHANA UZOEFU KAMPALA
KWA...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--PHe5LdsWVc/VTpv_cXMssI/AAAAAAAHS_c/vN4axDnjy4c/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-04-24%2Bat%2B7.30.30%2BPM.png)
MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yQls9Rj5e50/VUjJoBPLf8I/AAAAAAAHVgo/pcJj6nzSpas/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
Mabunge Duniani yanawajibu wa kulinda na kutetea haki za Binadamu: Kashililah
![](http://2.bp.blogspot.com/-yQls9Rj5e50/VUjJoBPLf8I/AAAAAAAHVgo/pcJj6nzSpas/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Umoja wa Mataifa kuchunguza kashfa