KABLA YA KUANZA KWA MTANANGE WA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA-SOMO LATOLEWA KUHUSU MALARIA NO MORE
![](http://1.bp.blogspot.com/-IWq_M0okrIA/U1MfEwfljlI/AAAAAAAFb6M/hPeQSMuXr6Y/s72-c/unnamed+(31).jpg)
Wasanii mahiri wanaounda kundi la THT wakiimba wimbo wa Malaria No More kabla ya mechi kuanza ya watani wa jadi Simba na Yanga.Wakati Vodacom Tanzania kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THTwalipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za kampuni hiyo wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E9NZkjz1iho/VX7EmcM7gpI/AAAAAAAHfmc/oCrNEkAgERQ/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MWECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA JIJINI ABU DHABI LEO
10 years ago
Michuzi15 Oct
BONIFACE WAMBURA WA TFF AONGELEA MAANDALZI YA MECHI YA WATANI WA JADI YANGA NA SIMBA
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Pambano la watani wa jadi,Simba kidedea
11 years ago
Michuzi28 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j_owi7L7XBo/VDMqVMSLi8I/AAAAAAAGodA/uvuaFkLaMWQ/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu.
Swala uhimu nililo jifunza ni...
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Pambano la watani wa jadi homa juu
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MTANANGE WA YANGA NA SIMBA VIKOSI VYATAJWA
![](http://udakunews.com/wp-content/uploads/2014/09/simbayanga.jpg)
Deogratius Munisi "Dida" Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro" Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santos "Jaja", Mrisho Ngasa, Andrey Coutinho.
BENCHI LA AKIBA
Juma Kaseja, Salum Telela, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Hamis Kiiza na Jerson Tegete.
KIKOSI CHA SIMBA
Manyika Peter, William Lucian, Mohamed Husseni, Hassan Shaka, Joseph Owino, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Said Ndemla, Elias Maguri, Amri Kiemba na Emanueli Okwi
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
JB Kuja na Filamu ya ‘Watani wa Jadi’ Wazee Tupu Ndani
Muigizaji na muongozaji wa filamu ambae pia anamiliki kampuni yake ya utenegezaje wa filamu ya Jerusalem, Jacob Stephen ‘JB’ amesema kwasasa wanafanya kazi mpya inayoitwa Watani wa Jadi ambayo itasheheni waigizaji wazee ambao ni wakali kwenye tasnia.
“New Project Yetu Inaitwa Watani Wa Jadi,Cast; Mzee Chimbeni Herry, Mzee Halikuniki,Mzee Chepuo,Bi Hindu Na Msichana Mmoja Bado Sijampata.Ni Movie Ya Wazee Tuone Swaga Zao.Itafanyika Zanzibar Kuanzia Wiki Ijayo”. JB alieleza.
Ngoja tuisubiri...
9 years ago
Bongo528 Sep
Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja