TCRA YATOA ELIMU KWA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA KILIMO ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-XisBi9_f_ig/VcGmBnnPkcI/AAAAAAAAEkw/l61EjgoJoiI/s72-c/1.jpg)
Gari maalumu la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) likiwa kwenye uwanja wa maonesho ya Nanenane Njiro jijini Arusha,wananchi wanaotembelea banda la TCRA hupata elimu namna gari hilo linavyofanya kazi.
Mmoja wa wananchi akipata maelezo kwenye banda la TCRA kwenye uwanja wa Taso ,Njiro jijini Arusha.
Afisa wa TCRA,Oswald Octavian(kulia)akimweleza jambo namna taasisi hiyo inavyofanya kazi ya kusimamia mawasiliano nchini.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NkQiEaLiyyM/VcOsbBx3jXI/AAAAAAAHuuo/VOoSEe878hI/s72-c/04.jpg)
TCAA watoa Elimu ya Usafiri wa Anga kwa wananchi waliofika kwenye maonesho ya Nanena yanayofanyika Ngongo, Lindi
![](http://4.bp.blogspot.com/-NkQiEaLiyyM/VcOsbBx3jXI/AAAAAAAHuuo/VOoSEe878hI/s640/04.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-fUTdt9PRtKc/VcOscd9n7rI/AAAAAAAHuuw/CRsRaD0E1h8/s640/05.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TUUoi_f0Pn8/VcOsc3thu4I/AAAAAAAHuu0/EpGPqxnEKJQ/s640/06.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5ZbsAa-EGfc/VhO8HxncKOI/AAAAAAAH9TQ/HSksf3Ip_yk/s72-c/Pix%2B1.jpg)
TCRA YATOA ELIMU KWA MENEJIMENTI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
![](http://4.bp.blogspot.com/-5ZbsAa-EGfc/VhO8HxncKOI/AAAAAAAH9TQ/HSksf3Ip_yk/s1600/Pix%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-aqkFCsG6rtw/VhO8HwEiHdI/AAAAAAAH9TI/mH9_O0MEVWw/s1600/Pix%2B2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
UTT PID yatoa huduma za uuzwaji wa fomu za viwanja vyake kwa Wananchi wanaotembelea maonesho ya 39 ya Sabasaba
Afisa Masoko Bi.Kilave Atenaka akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea kwenye banda hilo lililopo jirani ya kuingia katika banda kubwa la Ukumbi wa Karume
Na Mwandishi Wetu
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) ipo kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam, yanayoendelea katika mabanda ya Saba saba katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa jijini.
Banda la UTT PID lipo jirani na kuingia katika...
9 years ago
MichuziWANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAONESHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ETVe2cvcKMY/Xm6LT9hPjiI/AAAAAAALj04/dxIuXUEn8Z0wYwY0ftZGYedimITISk-fQCLcBGAsYHQ/s72-c/tbs_logo.gif)
TBS Yatoa Elimu kwa Wananchi zaidi ya 8000
![](https://1.bp.blogspot.com/-ETVe2cvcKMY/Xm6LT9hPjiI/AAAAAAALj04/dxIuXUEn8Z0wYwY0ftZGYedimITISk-fQCLcBGAsYHQ/s640/tbs_logo.gif)
Na Mwandishi WetuSHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limemaliza Kampeni yake ya kutoa elimu kwa umma katika wilaya za Mpanda, Rungwe na Ludewa kuhusiana na usajili wa majengo ya chakula na vipodozi, umuhimu wa kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ikiwamo muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa.
Kupitia kampeni hiyo maofisa wa shirika hilo walielimisha jamii kuhusu umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora na TBS.
Kampeni hiyo ya elimu kwa umma imefanyika katika wilaya hizo...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-0lhhJafFW2s/VcBqxNW84eI/AAAAAAAAEiw/aX75UUdTEVY/s72-c/T.jpg)
MAONESHO YA KILIMO NA UFUGAJI YAZINDULIWA MKOANI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-0lhhJafFW2s/VcBqxNW84eI/AAAAAAAAEiw/aX75UUdTEVY/s640/T.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Arn9gJ15RX0/VcBqzwvXd3I/AAAAAAAAEi4/XXLAqP-SuzE/s640/T%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-g5AOEF9VpYM/VcBq3fRG2jI/AAAAAAAAEjA/uoWhO0mh24c/s640/T%2B3.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2IyhNfj81jA/XmymyeEsRlI/AAAAAAALjOU/YCkXthDaSgch9fh2a_OD98VyEgGM_5_dwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-13%2Bat%2B2.26.45%2BPM.jpeg)
TCRA yatoa elimu Shule ya Sekondari ya Wavulana Mwandege
Akizungumza wakati wa utoaji elimu ya kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Mwandege wilayani Mkuranga mkoani Pwani Afisa Masoko wa Mamlaka hiyo Dorice Muhimbila amesema kuwa Wanafunzi ni muhimu kuwa elimu hiyo ili wakianza kumiliki simu waweze kutumia mawasiliano hayo salama.
Muhimbila amesema kuwa elimu hiyo wanayoitoa ni...
5 years ago
MichuziTCRA Kanda ya Mashariki yatoa elimu ya utumiaji mawasiliano Wilayani Ruangwa
Na Chalila Kibuda Globu ya Jamii aliyekuwa wilayani Ruangwa
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika Shule mbili za Sekondari wilayani Ruangwa ili Wanafunzi na walimu wajue namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.
Shule za Sekondari zilizipata elimu ya Mawasiliano wilayani Ruangwa ni Kassim Majaliwa na Likunja
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika Shule hizo Mkuu wa...
10 years ago
GPLPSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA