Phiri apewa mechi tano Simba
![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPXF6wGPmSENxAI3VZ5Fop-euvElPS6L1mSu8ZxStNMUohBWjSaX-eq9SvGiL5ZyLu2NqsuPZX7g0ySSvDn4v6a6/phili.jpg)
Kocha mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Nicodemus Jonas ALIYEWAHI kuwa Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang’are ‘Mzee Kinesi’, ameibuka na kuwataka wanachama na mashabiki kutokata tamaa kuhusu mwenendo wa kikosi chao, huku akitoa mechi tano ndipo waanze kujadili ubora wa kikosi chao. Simba imeanza ligi kwa kusuasua huku ikiwa haijashinda mechi yoyote, zaidi ya kuambulia sare katika michezo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMN4fi0k3VOsXqxNhESRB9JqEykxgihkykacbQ-dqeknQUqzbotgJ4z00XYQnsksyhCz2xRZHk3s6VBtmyvLVBuC/phili.jpg)
Phiri apewa mechi mbili Simba SC
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Phiri apewa mechi mbili
WAKATI Benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2ppqzvoYONixoqv6ShZlux6XyrjFJOpu*XzSsjEMuEzzUTYr0qnm3ULcN*p92CTm4NGYs2PAyn4S4d4lUrWUgRG8/2.jpg?width=650)
Mechi tano za Yanga zaiondoa Simba Caf
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Gabriel apewa marufuku ya mechi moja
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Mourinho apewa adhabu kukosa mechi moja
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi
10 years ago
TheCitizen30 Oct
Simba’s Phiri given ultimatum
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC01863.jpg)
Doris Mole (23) atwaa taji la Miss Singida 2014, apewa kitita cha shilingi laki tano
Huyu ndiye Miss Singida 2014 Doris Mole (23) akiwa na mshindi wa pili Blath Chambo na mshindi wa tatu Lulu Abdul.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
Doris Molel (23) Mwanafunzi katika chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salam anayesomea siasa na Maendeleo ya Jamii mwaka wa tatuametwaa taji la Miss Singida Redds 20014.
Katika shindano hilo lililofanyika jana kwenye ukumbi wa chuo ha Uhazili Mjini hapa Molel, mbali na kutwaa taji hilo alijinyakulia kitita cha shilingi laki...