FAHAMU KIUNDANI REKODI YA JEZI NAMBA 10 DUNIANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-tN5_pNAY5a4/VY6nmTRXsdI/AAAAAAAACRk/1bXwybgg-30/s72-c/download%2B%25283%2529.jpg)
Ukifatilia vizuri washindi wa Ballon d’Or tuzo ya mchezaji bora wa dunia Michael Owen, Ronaldinho Gaucho na Ricaldo Kaka wote walikua wakivaa jezi namba 10.Moja ya kukua kwa umaarufu wa jezi no. 10 ni kuwahi kuvaliwa na wachezaji bora wa muda wote Ulimwenguni, Pele pamoja na Diego Armando Maradona. Pia wachezaji wanaowika sasa Lionel Messi, Neymar na Wayne Rooney wote wanavaa jezi namba 10.
Hilo limechangia kwa kiasi kikubwa jezi hii kuwa na mvuto wa aina yake na kupendwa na mastaa wengi wa...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV28 Aug
Fahamu kiundani tukio la Familia kuteketea kwa moto Dar
![Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2848032/highRes/1103963/-/maxw/600/-/liao55/-/pic+moto.jpg)
Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya Buguruni Malapa .
Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam, mashuhuda wamethibitisha.Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.
Mashuhuda wa tukio hilo wameliambia Mwanannchi Digital kuwa baba wa familia hiyo amenusurika kwa kuwa hakuwepo nyumbani, na kwamba...
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Beckham amtaka Depay asiogope jezi namba 7
MANCHESTER, ENGLAND
NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester United, David Beckham, amemtaka mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Memphis Depay, kuivaa jezi namba saba bila wasiwasi.
Beckham amemwambia kwamba hiyo ni jezi kama zilivyo jezi nyingine, lakini anatakiwa kuitendea haki kama ilivyo kwa wachezaji wengi waliopita ambao walivaa namba hiyo kama vile Beckham, George Best, Eric Cantona, Cristiano Ronaldo, Di Maria na wengine.
Beckham aliwahi kuivaa namba hiyo wakati anaitumikia klabu hiyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TYrvltUmOUgK4dzuBEoNi3vrOvmYM5-4xVlG8k9Lc36*SilZsMf*4g7mV47PxX3F78QLjAcytKmi3ciEyrTcMDt/kapombe.jpg?width=650)
Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZi0y21lV4tpyoVxvINGGzaiFW1JI5O4jEXgCdayqCJ-mWmrx4RUD6phKKAl9DiIIwtuxcq0ZSowF86PfsAe2TP/rojo.jpg?width=650)
MARCOS ROJO RASMI MAN UTD, APEWA JEZI NAMBA 5
9 years ago
Bongo520 Nov
Ushauri wa David Beckham kwa mchezaji Memphis Depay kuhusu Jezi namba 7
![ad_178359848-e1446801336562](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ad_178359848-e1446801336562-300x194.jpg)
Jezi namba 7 ni miongoni mwa jezi zenye heshima kubwa katika klabu ya Manchester United na moja kati ya watu walioipatia heshima jezi hiyo ni David Beckham na Cristiano Ronaldo.
Memphis Depay aliyesajiliwa msimu huu na klabu ya Manchester United akitokea PSV Endhoven ya Uholanzi kwa dau la pound milioni 25 ambaye ndo anavaa jezi hiyo kwa sasa.
Depay ambaye kwa wiki za karibuni amekuwa akikaa benchi na mchezaji Jesse Lingard kuchukua nafasi yake, inatajwa kuwa na presha kubwa kutokana na...
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Albamu ya Justin Bieber ya 'Changes' yavunja rekodi kuwa namba moja
10 years ago
Mwananchi09 Mar
UDHAMINI WA JEZI: Manchester United yaendelea kutesa duniani
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Mchafu namba moja duniani atafuta mwenza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vu2giU6L5Odw9fgRj5OPdvAM3*Fs4gXrwbrj3h0oRaq5wH2GFP*sd*zOTPtRyKyvaSr6igurjcycrTFYb1crcI9mEYw4su-t/11021250_946535928725068_3604363840028674416_n.jpg?width=650)
FORBES: BILL GATES NI TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI