JK azindua kampuni ya soko la bidhaa
RAIS Jakaya Kikwete amezindua rasmi kampuni ya soko la bidhaa nchini (TMX), ambayo itawezesha wakulima kupata soko la uhakika, uwazi wa bei na kuziba mianya ya kuwanufaisha zaidi walanguzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA
11 years ago
Mwananchi29 May
‘Tunazalisha bidhaa za mkonge, hakuna soko’
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
TPSF kuanzisha soko la bidhaa ghafi
TAASISI ya Sekta Binafsi (TPSF) inatarajia kuanzisha soko la bidhaa ghafi litakalowasaidia wakulima kuwa na bei elekezi za mazao yao. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti...
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Ripoti: Bidhaa za Afrika haziendani na soko la dunia
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Bidhaa za China zinavyotamba kwenye soko la Tanzania
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-W3uvenvkkWo/VGtYBWrMIBI/AAAAAAAANsk/2AhATakn-SQ/s72-c/MOTO754.jpg)
MOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI JIJINI ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-W3uvenvkkWo/VGtYBWrMIBI/AAAAAAAANsk/2AhATakn-SQ/s640/MOTO754.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Dip9yWahtyg/VGtYFk8Rs2I/AAAAAAAANss/mRpHtdn0Pkg/s640/MOTO43.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xc93peXk1Us/VGtYHJS-laI/AAAAAAAANs0/sQKlV0o4iiQ/s640/MOTO432.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-44eNqzWsJpI/VGtYaLJqRzI/AAAAAAAANts/Ttlccv-g-D0/s640/MOTO%2B56.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_dxAJiZ42Ok/VGtYeWNnlLI/AAAAAAAANt0/PpSEgLzzz_A/s640/MOTO%2B57.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ycQOuvsWixk/VGtYjE7erEI/AAAAAAAANuA/Im03XYnqoMA/s640/MOTO%2B89.jpg)
9 years ago
StarTV07 Nov
Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.
Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.
Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...
9 years ago
MichuziMFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA MBALIMBALI WATIKISA SOKO KUU JIJINI MWANZA.
Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 kwa kila moja tofauti na hapo awali ambapo bidhaa iliyokuwa ikiuzwa shilingi 15,000 sasa...
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
MFUMUKO WA BEI: Bidhaa mbalimbali zatikisa soko kuu jijini Mwanza!