MFUMUKO WA BEI: Bidhaa mbalimbali zatikisa soko kuu jijini Mwanza!
Kwa takribani Wiki mbili sasa, Mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali kupanda katika Soko Kuu la Jijini Mwanza umeendelea kuwaliza watumiaji wa soko hilo. Na:George Binagi-GB Pazzo Mfumuko huo unalalamikiwa na pande zote mbili kwa maana ya wauzaji na wanunuaji sokoni hapo, ambapo wameomba hatua za haraka kuchukuliwa ili kiweka mambo sawa. Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 kwa kila moja tofauti na hapo awali ambapo bidhaa iliyokuwa ikiuzwa shilingi 15,000 sasa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA MBALIMBALI WATIKISA SOKO KUU JIJINI MWANZA.
Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 kwa kila moja tofauti na hapo awali ambapo bidhaa iliyokuwa ikiuzwa shilingi 15,000 sasa...
9 years ago
StarTV21 Dec
Maandalizi ya Krismas,Mwaka mpya Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza
Zikiwa zimebaki siku tano kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.
Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.
Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.
Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...
9 years ago
StarTV16 Dec
Maandalizi Ya Krismas, Mwaka Mpya ya sababisha  Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza
Zikiwa zimebaki siku kumi kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.
Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.
Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.
Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA HUDUMA NA BIDHAA WAPANDA KWA ASILIMIA 4.5
9 years ago
StarTV07 Nov
Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.
Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.
Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...
10 years ago
Dewji Blog21 May
Flaviana Matata atoa elimu ya fursa mbalimbali zinazopatikana PSPF kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Mwanza
Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza.
Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi....
10 years ago
VijimamboMOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziFLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Tigo yadhamini uzinduzi wa Rocky City Mall: Kufanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali Mwanza
Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa, Beatrice Kinabo, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Mwanza jana, ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika na Tigo watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto ni Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company Limited Joseph Mlinzi na kulia ni Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry.
Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry, akizungumza na waandishi wa habari...