Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandalizi ya Krismas,Mwaka mpya Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza

 

Zikiwa zimebaki siku tano kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.

Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.

Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.

Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Maandalizi Ya Krismas, Mwaka Mpya ya sababisha  Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza

 

Zikiwa zimebaki siku kumi kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.

Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.

Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.

Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MFUMUKO WA BEI: Bidhaa mbalimbali zatikisa soko kuu jijini Mwanza!

Kwa takribani Wiki mbili sasa, Mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali kupanda katika Soko Kuu la Jijini Mwanza umeendelea kuwaliza watumiaji wa soko hilo. Na:George Binagi-GB Pazzo Mfumuko huo unalalamikiwa na pande zote mbili kwa maana ya wauzaji na wanunuaji sokoni hapo, ambapo wameomba hatua za haraka kuchukuliwa ili kiweka mambo sawa.   Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 kwa kila moja tofauti na hapo awali ambapo bidhaa iliyokuwa ikiuzwa shilingi 15,000 sasa...

 

9 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA MBALIMBALI WATIKISA SOKO KUU JIJINI MWANZA.

Kwa takribani Wiki mbili sasa, Mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali kupanda katika Soko Kuu la Jijini Mwanza umeendelea kuwaliza watumiaji wa soko hilo.Na:George Binagi-GB PazzoMfumuko huo unalalamikiwa na pande zote mbili kwa maana ya wauzaji na wanunuaji sokoni hapo, ambapo wameomba hatua za haraka kuchukuliwa ili kiweka mambo sawa.
Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 kwa kila moja tofauti na hapo awali ambapo bidhaa iliyokuwa ikiuzwa shilingi 15,000 sasa...

 

9 years ago

Habarileo

Bidhaa zapanda bei Zanzibar

WANANCHI wengi wa Zanzibar wanalazimika kutumia fedha za ziada kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za lazima ikiwemo chakula baada ya bei ya bidhaa muhimu kupanda bei, imebainika.

 

10 years ago

StarTV

Bei za vyakula, bidhaa Dar zapanda.

Na Epiphania Magingo,

Dar es Salaam.

 

Zikiwa zimesalia siku chache za kusherehekea sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za vyakula na bidhaa mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeonekana kupanda kwa kasi na kufanya wanunuzi wengi kushindwa kununua bidhaa hizo.

 

Changamoto hii imekuwa ikionekana kila inapokaribia msimu wa sikukuu kubwa ambayo licha ya kukemewa lakini imeendelea kujitokeza na kuwa tatizo sugu linalowaathiri wananchi wengi.

 

Ni katika soko la Kariakoo Jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara Soko Kuu Mtwara walalamikia upatikanaji wa bidhaa

Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mkoa wa Mtwara wamelalamikia upatikanaji wa bidhaa hususani za nafaka kutokana na zoezi la Uchaguzi lililomalizika hali ambayo imesababisha gharama za bidhaa hizo kupanda maradufu na kuathiri wateja wa Mkoa huo.

Licha ya kumalizika kwa uchaguzi lakini bado uingizwaji wa bidhaa umekuwa hafifu kutokana na baadhi ya wafanyabishaara wanaomiliki magari ya mizigo kugoma kufuata mizigo mashambani.

 Bidhaa nyingi zinazoingia katika Soko Kuu la mkoa wa Mtwara kwa kiasi...

 

10 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UFUNGUZI WA BIDHAA MPYA ZA OIL WAKAMILIKA

Aina mpya Oil ya magari na mitambo ya NEXTOIL imeingia nchini na kesho inazinduliwa rasmi chini ya duka la F-ZONE (T) LIMITED lililopo jijini Dar es salaam Mtaa wa Kariakoo na Msimbazi. Wasiliana nao kwa simu +255 757222480…

 

10 years ago

Michuzi

5 years ago

CCM Blog

NYANYA ZAPANDA BEI DODOMA

   SABABU ni mvua! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wafanyabiashara wa zao la nyanya kuitaja mvua kama sababu iliyochangia kupanda kwa bei ya zao hilo kwa siku za hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini na Dodoma ikiwemo.

Kwa siku za hivi karibuni zao la nyanya limeshika umaarufu mkubwa midomoni mwa watu kutokana na kupotea kwake sokoni na zinapopatikana basi bei yake imekua juu tofauti na ilivyozoeleka.

Michuzi Blogu imefanya uchunguzi wake katika masoko ya Sabasaba na Majengo ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani