Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA UFUNGUZI WA BIDHAA MPYA ZA OIL WAKAMILIKA

Aina mpya Oil ya magari na mitambo ya NEXTOIL imeingia nchini na kesho inazinduliwa rasmi chini ya duka la F-ZONE (T) LIMITED lililopo jijini Dar es salaam Mtaa wa Kariakoo na Msimbazi. Wasiliana nao kwa simu +255 757222480…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Maandalizi ya Krismas,Mwaka mpya Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza

 

Zikiwa zimebaki siku tano kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.

Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.

Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.

Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...

 

9 years ago

StarTV

Maandalizi Ya Krismas, Mwaka Mpya ya sababisha  Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza

 

Zikiwa zimebaki siku kumi kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.

Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.

Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.

Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya ufunguzi wa shule za msingi mkoa wa Singida

DSC03220

Baadhi ya wazazi/walezi na wanafunzi wakijipatia mahitaji kwa ajili ya ufunguzi wa muhula wa shule za msingi unaotarajiwa kuanza leo Januari tano mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC03224

DSC03225

DSC03228

 

10 years ago

GPL

UFUNGUZI WA DUKA LA F-ZONE T LTD LINALOSAMBAZA BIDHAA ZA FELTRON

Mmoja wa wahisani wa Kampuni ya Feltron (katikati), Bw. Dinesh Mithrani akikata utepe kama ishara ya uzinduzi rasmi wa duka hilo. ...Akiingia dukani humo muda mfupi baada ya uzinduzi huo.…

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANENANE NA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI KITAIFA INAYOFANYIKA MKOANI DODOMA

 Wanafunzi wa shule ya msingi ya  Nhinhi wiyani Chamwino wakicheza ngoma ya kabila la kigogo wakati wa Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Unyonyeshaji maziwa ya mama kwa mtoto kwa miezi sita yaliyofanyika katika kijiji cha Nghwenda katika mfurulizo wa wiki ya hiyo inayofanyika kitaifa mkoani Dodoma


 Baadhi ya wanawake na wanaume wakiwa na watoto wao kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji kitaifa inayoendelea mkoani Dodoma yaliyofanyika katika kijiji cha Nghwenda kata ya Nhinhi...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Ijumaa wa Kijiji cha Bandamaji Mvumoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 Mwenyekiti wa Kamati ya kuendeleza ujenzi wa Misikiti na Madrasa Zanzibar Rais Mstafu wa Tanzania Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi akitoa salamu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Ijumaa wa Kijiji cha Bandamaji Mvumoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. Kulia ya Mzee Mwinyi ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mfadhili wa Ujen zi wa Msikiti huo Sheikh Muhoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wa Kijiji cha...

 

9 years ago

Habarileo

Maandalizi ya kumwapisha rais mpya yapamba moto

SERIKALI imeendelea kuandaa mazingira ya sehemu itakayotumika kwa ajili ya kumwapisha Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Maandalizi ya mazingira hayo yanaenda sambamba na mazoezi ya kijeshi kwa ajili ya gwaride maalumu, litakalofanyika wakati wa kuapishwa kwake katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

ZEC yakutana na wadau maandalizi ya Katiba mpya

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imekutana na wadau mbalimbali vikiwamo vyama vya siasa kwa ajili ya maandalizi ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 

10 years ago

Mtanzania

Faidika yazindua bidhaa mpya ya mikopo

EXEC PIX 1Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TAASISI ya kifedha, Faidika imezindua bidhaa mpya ya mkopo maarufu kama ‘Executive’ inayolenga kuwezesha upatikanaji rahisi wa mkopo usiokuwa na dhamana kwa wafanyakazi wa serikalini wa mpaka Sh milioni 30.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Faidika, Marion Moore, alisema mkopo huo mpya ni moja kati ya bidhaa ya kipekee nchini yenye lengo la kurahisisha upatikanaji wa mikopo kwa wafanyakazi kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani