Faidika yazindua bidhaa mpya ya mikopo
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TAASISI ya kifedha, Faidika imezindua bidhaa mpya ya mkopo maarufu kama ‘Executive’ inayolenga kuwezesha upatikanaji rahisi wa mkopo usiokuwa na dhamana kwa wafanyakazi wa serikalini wa mpaka Sh milioni 30.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Faidika, Marion Moore, alisema mkopo huo mpya ni moja kati ya bidhaa ya kipekee nchini yenye lengo la kurahisisha upatikanaji wa mikopo kwa wafanyakazi kutoka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Taasisi ya fedha ya FAIDIKA wazindua huduma mpya ya ‘Faidika na Samsung Tabs’ kwa wateja wa Dar
Ofisa Mtendaji mpya wa Faidika, Bw. Mbuso Dlamini wa pilikutoka kushoto akiwa sambamba na Meneja matekeleo wa taasisi hiyo, Haruna Feruzi wakiwa wameshika moja ya Samsung galaxy tab ambazo watakuwa wanakopesha wateja wao kuanzia sasa. Wanaofuatia ni Meneja wa kitengo cha Mauzo SME, kutoka kampuni ya AIRTEL, Bw. Killian Nango akishikilia bidhaa hizo pamoja na Meneja wa Samsung, Bw. Payton Kwembe. Wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. (Picha...
10 years ago
MichuziPSPF YAZINDUA HUDUMA MPYA ZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAKE.
11 years ago
MichuziFAIDIKA: Kuchukua mikopo ya biashara bila elimu ya ujasiriamali ni hatari
10 years ago
Dewji Blog23 May
Bayport yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote
Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga, pichani, akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja katika mradi wa Vikuruti, Kibaha, mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa ya Mei 22, katika Hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwamo viongozi wa serikali. (Picha zote na Mpiga Picha Wetu).
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo,...
10 years ago
MichuziLAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE
10 years ago
MichuziBayport Financial Services yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo, imeanzisha huduma mpya ya kukopesha viwanja...
9 years ago
MichuziNMB YAZINDUA MFUMO WA KISASA WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA MIKOPO, WATEJA SASA KUPATA MIKOPO NDANI YA SIKU 4.
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .
Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...