Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANENANE NA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI KITAIFA INAYOFANYIKA MKOANI DODOMA

 Wanafunzi wa shule ya msingi ya  Nhinhi wiyani Chamwino wakicheza ngoma ya kabila la kigogo wakati wa Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Unyonyeshaji maziwa ya mama kwa mtoto kwa miezi sita yaliyofanyika katika kijiji cha Nghwenda katika mfurulizo wa wiki ya hiyo inayofanyika kitaifa mkoani Dodoma


 Baadhi ya wanawake na wanaume wakiwa na watoto wao kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji kitaifa inayoendelea mkoani Dodoma yaliyofanyika katika kijiji cha Nghwenda kata ya Nhinhi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAZINDULIWA LEO MKOANI DODOMA

Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya small boys kutoka kijiji cha Nhinhi Chamwino Adson Amos akipokea zawadi ya Jezi kutoka kwa mgeni rasmi baada ya timu yake kuibuka mshindi kwenye mashindano ya uzinduzi wa Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa yaliyofanyika leo kwenye kijiji cha Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge akiwasilisha hotuba ya uzinduzi wa Maadhimisho...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na John Banda wa Pamoja Blog. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji Maziwa ya Mama Kitaifa yafikia kilele mjini Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog).

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA





OFISI YA RAIS,

MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA


RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014


MUDA

TUKIO

MHUSIKA

02.00-03.30

Burudani

MC

03.30-04.00

Waalikwa Kuingia Uwanjani

MC/Wageni Waalikwa

04.00-04.15

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani

MC/ Kamati ya Mapokezi

04.15-04.30

Mgeni...

 

10 years ago

Vijimambo

MSD YAWAVUTA WANANCHI KATIKA BANDA LAO MAONYESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA MKOANI DODOMA


Wananchi wakisubiri kupata huduma katika banda la MSD kwenye Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Dodoma.
Ofisa Mdhibiti Ubora wa MSD, Betia Kaema, akitoa dawa kwa mgonjwa aliyefika katika banda la MSD kwenye maonyesho hayo.
Ofisa Huduma kwa Wateja Kanda ya Dodoma, Sara Wangilisasi akitoa dawa kwa mgonjwa aliyefika kwenye banda la MSD kwenye maonyesho hayo.
Ofisa Mauzo, Juliana Mbogo na Ofisa Udhibiti Ubora, Betia Kaema wakiandaa dawa za kumpatia mgonjwa aliyefika katika banda la MSD.Na...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA UCHUKUZI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA YANAYOFANYIKA KITAIFA MKOANI TANGA

Mhandisi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhandishi Ephraim Minde, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata ufafanuzi kuhusu utunzaji wa Mazingira katika miundombinu ya Uchukuzi, leo asubuhi katika banda la Wizara ya Uchukuzi katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani Tanga. Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Uchukuzi, Bi. Tumpe Mwaijande (aliyekaa kwenye kiti), akifafanua kwa mwananchi aliyembelea banda...

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA MAONYESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO DAR ES SALAAM

 Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja   Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akitoa hutuba ya ufunguzi wa maonyesho hayo katika viwanja vya Mnazi mmoja  jijini Dar es Salaam.
 Chungu na kibuyu vilivyotumika na waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana katika banda la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani