Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco yatambulisha kifaa cha umeme

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) mkoani hapa limetambulisha kifaa kipya ambacho ni mbadala wa kutandaza nyaya za umeme kwa maandalizi ya kupata umeme wa shirika hilo kwa wafugaji wa kuku pamoja na wananchi wanaojenga chumba kimoja ama viwili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

5 years ago

Michuzi

Simba Jamii Tanzania latoa msaada tanki la maji na kifaa cha kuzalisha umeme kituo cha kulelea watoto Yatima mkoani Morogoro

Mnamo tarehe 04 April 2020 kundi la Simba Jamii Tanzania " Ultras" lilikabidhi zawadi ya tank la maji la lita 2,000 pamoja na kifaa cha kuzalisha umeme Jua (Solar) kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Ukhty Raya kilichopo eneo la Mindu mkoani Morogoro.

Akikabidhi misaada hiyo mwakilishi wa Simba Jamii mkoani Morogoro Bwana Rashid "Wizzy" Mbegu alimfahamisha mlezi na msimamizi wa kituo hicho Bi Raya kuwa Simba Jamii itawakabidhi watoto wote wa kituo hicho pea 50 za viatu ilivyovipokea...

 

9 years ago

Michuzi

TANESCO YAAGIZWA KUIMARISHA KIKOSI CHA UKAGUZI WA WATUMIAJI WA UMEME

Na Jovina Bujulu- MaelezoDAR ES SALAAM 18/11/2015Mabadiliko ya Tabia Nchi, uharibifu wa vyanzo vya maji katika mito mbalimbali na uchepushaji wa maji kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji ni chanzo cha kukauka kwa mabwawa ya maji yanayotumika katika kuzalisha umeme.
Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud alipokuwa akizungumzia ukaguzi wa wezi wa umeme nchini.
“Umeme unaotumika kwa sasa unazalishwa kwa kiasi kikubwa na gesi asilia...

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA UMEME

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kusambaza vifaa vya umeme wa jua (solar) ya Rex Energy Bw Francis Kibhisa akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),kuhusiana na uzinduzi na utambulisho wa teknolojia  mpya yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi na kusambaza Umeme,mkutano huo umefanyika mapema leo asubuhi kwenye makao makuu ya ofisi hizo zilizopo mtaa wa Makamba,Gerezani jijini Dar. Pichani mbele kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

TANESCO IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA YA UTOAJI WA HUDUMA YA UMEME NCHINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10 -MHANDISI MRAMBA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na waandishi wa habari juu ya mafanikio ya miaka 10 ya shirika hilo katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.Sehemu ya waandishi wa habari wakifatilia taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,hayupo pichani katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limesema kuwa limepata mafanikio katika kipindi cha miaka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kifaa cha MRI charekebishwa Muhimbili

Hospitali kuu ya Muhimbili nchini Tanzania,imesema kwamba mashine ya MRI imeanza kufanya kazi tena baada ya kurekebishwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Abuni kifaa cha kugundua moto

>Wengi wanaoitaja Tanzania kuwa ina utajiri wa rasilimali, huorodhesha  ardhi, vito vya thamani, uoto wa asili na mbuga za wanyama, lakini  kumbe kuna rasilimali watu ambayo nayo ni muhimu hasa katika zama za sasa za teknolojia.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yapandisha bei ya umeme

>Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za umeme ambazo zimepanda kwa kuzingatia makundi tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco

Wafadhili na mabalozi wanaowakilisha mashirika na nchi zao hapa nchini wakikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi cha Kinyerezi, Dar es Salaam hivi karibuni.MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani