Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abuni kifaa cha kugundua moto

>Wengi wanaoitaja Tanzania kuwa ina utajiri wa rasilimali, huorodhesha  ardhi, vito vya thamani, uoto wa asili na mbuga za wanyama, lakini  kumbe kuna rasilimali watu ambayo nayo ni muhimu hasa katika zama za sasa za teknolojia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Simba Jamii Tanzania latoa msaada tanki la maji na kifaa cha kuzalisha umeme kituo cha kulelea watoto Yatima mkoani Morogoro

Mnamo tarehe 04 April 2020 kundi la Simba Jamii Tanzania " Ultras" lilikabidhi zawadi ya tank la maji la lita 2,000 pamoja na kifaa cha kuzalisha umeme Jua (Solar) kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Ukhty Raya kilichopo eneo la Mindu mkoani Morogoro.

Akikabidhi misaada hiyo mwakilishi wa Simba Jamii mkoani Morogoro Bwana Rashid "Wizzy" Mbegu alimfahamisha mlezi na msimamizi wa kituo hicho Bi Raya kuwa Simba Jamii itawakabidhi watoto wote wa kituo hicho pea 50 za viatu ilivyovipokea...

 

11 years ago

Habarileo

Tanesco yatambulisha kifaa cha umeme

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) mkoani hapa limetambulisha kifaa kipya ambacho ni mbadala wa kutandaza nyaya za umeme kwa maandalizi ya kupata umeme wa shirika hilo kwa wafugaji wa kuku pamoja na wananchi wanaojenga chumba kimoja ama viwili.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kifaa cha MRI charekebishwa Muhimbili

Hospitali kuu ya Muhimbili nchini Tanzania,imesema kwamba mashine ya MRI imeanza kufanya kazi tena baada ya kurekebishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji

Watafiti wamegundua kifaa kipya kinachotumiwa na idadi kubwa ya masokwe kunywa maji .

 

9 years ago

Mwananchi

Kifaa cha kulipia faini barabarani kuanza kazi

Kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max malipo, wamezindua kifaa cha kielektoniki cha kufanyia malipo madereva wa magari wanaovunja sheria.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamtosa Mavugo, yashusha kifaa cha Italia

Klabu ya Simba imeachana na usajili wa mshambuliaji Laudit Mavugo kutoka Burundi ikitarajiwa kushusha mchezaji kutoka Italia kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.

 

10 years ago

Michuzi

MAXIMO AJA NA KIFAA KINGINE CHA YANGA KUTOKA BRAZIL

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves...

 

10 years ago

Michuzi

KIFAA CHA KUCHUNGUZIA UGONJWA WA EBOLA CHAWEKWA AIR PORT ZANZIBAR

Na Faki Mjaka Maelezo Zanzibar
Wizara ya Afya Zanzibar imekabidhi kifaa cha THERMAL SCANNER kwa ajili ya kuchunguza Wagonjwa wa EBOLA watakao ingia nchini kutoka mataifa mengine.
Kifaa hicho kilichowekwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume kitatumika kwa ajili ya kuwachunguza zaidi Wageni ambao watatoka katika nchi zilizoathiriwa na Ugonjwa wa Ebola.
Akikabidhi kifaa hicho Mkuu wa kitengo cha kufuatilia mwenendo wa Maradhi Zanzibar Dkt Salma Masauni amesema THEMO SKAN...

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU YA WATOTO YAPATA MSAADA WA KIFAA CHA KUSAFISHA MAJI SAFI NA SALAMA

Kamishna wa Ustawi wa Jamii,Bw. Dunford Makalla akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mtambo mpya wa kusafishia maji safi na salama katika Mahabusu ya Watoto iliyopo Upanga,jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni wafanyakazi wa Kampuni ya Davis&Shirtliff. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DAVIS & SHIRTLIFF, Bw. Benjamin Munyao akimuonyesha Kamishna Wa Ustawi wa Jamii, Bw.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani