Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji

Watafiti wamegundua kifaa kipya kinachotumiwa na idadi kubwa ya masokwe kunywa maji .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SUNNRGY WAGUNDUA KIFAA KINACHOTUMIA MIONZI YA JUA

 Mhandisi wa Sunnrgy,Erick Mhema akielezea wadau mbalimbali kifaa cha kuvuta maji kutokana na kutumia Nishati ya jua (Solar Energy),wakati wa mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua na Upepo iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.  Kamishina wa Nishati na Petroli wa Wizara ya Nishati na Madini,Mhandisi Hosea Mbise akizungumza na waandishi na vyombo vya habari katika mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua na  Upepo iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. ...

 

5 years ago

Michuzi

Simba Jamii Tanzania latoa msaada tanki la maji na kifaa cha kuzalisha umeme kituo cha kulelea watoto Yatima mkoani Morogoro

Mnamo tarehe 04 April 2020 kundi la Simba Jamii Tanzania " Ultras" lilikabidhi zawadi ya tank la maji la lita 2,000 pamoja na kifaa cha kuzalisha umeme Jua (Solar) kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Ukhty Raya kilichopo eneo la Mindu mkoani Morogoro.

Akikabidhi misaada hiyo mwakilishi wa Simba Jamii mkoani Morogoro Bwana Rashid "Wizzy" Mbegu alimfahamisha mlezi na msimamizi wa kituo hicho Bi Raya kuwa Simba Jamii itawakabidhi watoto wote wa kituo hicho pea 50 za viatu ilivyovipokea...

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU YA WATOTO YAPATA MSAADA WA KIFAA CHA KUSAFISHA MAJI SAFI NA SALAMA

Kamishna wa Ustawi wa Jamii,Bw. Dunford Makalla akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mtambo mpya wa kusafishia maji safi na salama katika Mahabusu ya Watoto iliyopo Upanga,jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni wafanyakazi wa Kampuni ya Davis&Shirtliff. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DAVIS & SHIRTLIFF, Bw. Benjamin Munyao akimuonyesha Kamishna Wa Ustawi wa Jamii, Bw.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni

Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji kwa kunywa maji ya mto kwa majani ya mgomba maji ambayo wapiga kura wake wa kijiji cha Madindo Mlangali wamekuwa wakiyatumia. Mbunge huyo mbali ya kuzindua pia alitoa msaada wa matenki makubwa ya maji mawili na vifaa mbali mbali juzi.(picha na Francis GodwinBlog)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwimba kuanza kunywa maji safi

MBUNGE wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), amewahakikishia wananchi wa Ngudu na Mhalo kwamba ifikapo Machi wataanza kupata majisafi kutoka Ziwa Victoria. Alisema kuanzia Juni hadi Oktoba, wakazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wanafunzi 39 walazwa kunywa maji yenye petroli

Wanafunzi 39 wa Shule ya msingi ya Fahari jijini Dar es Salaam wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Zakhem, baada ya kunywa maji yanayohisiwa kuchanganywa na mafuta ya petroli.

Hata hivyo, wanafunzi watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi wakituhumiwa kuhusika na tukio hilo.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wakati wakipata chai na kunywa maji hayo yaliyohifadhiwa kwenye plastiki maalum linalomilikiwa na shule hiyo.

Mwalimu wa zamu, Ali Elias, alisema tukio hilo limesababisha wanafunzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanasayansi ‘Bongo’ kusafisha maji ya kinyesi kuwa ya kunywa

Umeshikwa na kiu? Unaingia katika duka lililo jirani na kununua maji ya chupa kwa ajili ya kunywa. Lakini ukapatwa na udadisi kutaka kujua maji hayo yametengenezwa na nini. Unaposoma kilichotumika kutengeneza maji hayo, unagundua kuwa yametengenezwa kwa kinyesi.

 

9 years ago

Bongo5

King Kaka aingiza sokoni maji ya kunywa, ‘Majik Walter’

Rapper kutoka nchini Kenya na mjasiriamali, King Kaka ameendelea kujikita zaidi kwenye biashara baada ya kuingiza bidhaa yake mpya ya maji sokoni. King Kaka ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake’Najipendelea’ aliowashirikisha G-Nako na Joh Makini, ameiambia 255 ya kipindi cha Clouds FM, XXL kuwa ameamua kutumia muziki wake kibiashara zaidi. Timu ya Kabras Rugby […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Rohingya 'walazimika kunywa maji ya bahari kuokoa maisha' baada ya kufurushwa

Taifa la Malaysia lililifurusha boti lililokuwa limebeba mamia ya wakimbizi wa Rohingya , likihofia maambukizi ya virusi vya corona .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani