Wanasayansi ‘Bongo’ kusafisha maji ya kinyesi kuwa ya kunywa
Umeshikwa na kiu? Unaingia katika duka lililo jirani na kununua maji ya chupa kwa ajili ya kunywa. Lakini ukapatwa na udadisi kutaka kujua maji hayo yametengenezwa na nini. Unaposoma kilichotumika kutengeneza maji hayo, unagundua kuwa yametengenezwa kwa kinyesi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Watafiti UDSM kusafisha majitaka kuwa ya kunywa
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qf2kJrf2ApE/U_TMnJwScBI/AAAAAAAGA9w/PQH5wIenR2g/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni
![](http://2.bp.blogspot.com/-qf2kJrf2ApE/U_TMnJwScBI/AAAAAAAGA9w/PQH5wIenR2g/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xm1XeshQta4/U_TMnTV5pEI/AAAAAAAGA9s/XI0MMyay-dk/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Wazoa maji ya kinyesi kwa mikono
Jonas Mushi na Tunu Nassoro(TEC), Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kutokea mafuriko makubwa katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani, wakazi wa eneo hilo wako hatarini kukumbwa na mlipuko wa magonjwa baada ya nyumba zao kujaa uchafu uliombatana na kinyesi.
Hali hiyo, imesababisha wananchi hao kulazimika kuzoa uchafu huo kwa kutumia mikono bila kuwa na vifaa maalumu, jambo ambalo linahatarisha afya zao.
MTANZANIA ilifika eneo hilo na kushuhudia watu wakichota maji machafu ambayo walidai...
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Bill Gates anywa maji ya kinyesi
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-YtH7OBkQH4Q/VkB81mYQiHI/AAAAAAADB_U/qQ4vYnb3BpM/s72-c/New%2BPicture.png)
DAWASCO YAKANUSHA KUSAMBAZA MAJI YENYE KINYESI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-YtH7OBkQH4Q/VkB81mYQiHI/AAAAAAADB_U/qQ4vYnb3BpM/s1600/New%2BPicture.png)
Katika gazeti la Mzalendo lilikuwa na kichwa cha habari “Wengi Dar watumia maji yenye kinyesi” na upande wa gazeti la Majira lilibeba kichwa cha habari “Maji machafu yaathiri Dar”. Ndani ya habari hizo waandishi wameelezea shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO) kama moja ya...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kwimba kuanza kunywa maji safi
MBUNGE wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), amewahakikishia wananchi wa Ngudu na Mhalo kwamba ifikapo Machi wataanza kupata majisafi kutoka Ziwa Victoria. Alisema kuanzia Juni hadi Oktoba, wakazi wa...
10 years ago
StarTV08 Jan
Bill Gates anywa maji ya kinyesi cha binadamu.
Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea.
Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio mwishoni mwa mwaka huu.
Teknolojia hiyo imeungwa mkono na shirika la WaterAid ambalo limesema kuwa itasaidia sana katika maeneo ya miji.
Kulingana na shirika hilo la...
10 years ago
Vijimambo03 Oct
Wanafunzi 39 walazwa kunywa maji yenye petroli
Hata hivyo, wanafunzi watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi wakituhumiwa kuhusika na tukio hilo.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wakati wakipata chai na kunywa maji hayo yaliyohifadhiwa kwenye plastiki maalum linalomilikiwa na shule hiyo.
Mwalimu wa zamu, Ali Elias, alisema tukio hilo limesababisha wanafunzi wa...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji