DAWASCO YAKANUSHA KUSAMBAZA MAJI YENYE KINYESI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-YtH7OBkQH4Q/VkB81mYQiHI/AAAAAAADB_U/qQ4vYnb3BpM/s72-c/New%2BPicture.png)
Mnamo tarehe 08/11/2015 Magazeti ya Mzalendo na Majira yaliandika habari zilizolenga upotoshaji na taharuki kwa wananchi na hususani watumiaji wa Maji kwa mkoa wa Dar es salaam wanaohudumiwa na DAWASCO.
Katika gazeti la Mzalendo lilikuwa na kichwa cha habari “Wengi Dar watumia maji yenye kinyesi” na upande wa gazeti la Majira lilibeba kichwa cha habari “Maji machafu yaathiri Dar”. Ndani ya habari hizo waandishi wameelezea shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO) kama moja ya...
Michuzi