Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“HATUSAMBAZI MAJI YENYE UCHAFU BUGURUNI”- DAWASCO

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limewatahadharisha wananchi kuepuka taarifa za uzushi zilizoripotiwa na vyombo kadhaa vya habari juu ya usambazaji maji machafu kwenye line za mabomba ya wateja wa Dawasco.
Akizungumza na gazeti hili, Kaimu Meneja Uhusiano wa Dawasco , Bi Everlasting Lyaro alisema taarifa hizo za uzushi zimesambazwa na watu wachache ili kuchafua taswira ya shirika hilo na pia  kuihusisha Dawasco moja kwa moja na mlipuko wa kipindupindu ulioingia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DAWASCO YAKANUSHA KUSAMBAZA MAJI YENYE KINYESI.

Mnamo tarehe 08/11/2015 Magazeti ya Mzalendo na Majira yaliandika habari zilizolenga  upotoshaji na taharuki kwa wananchi na hususani watumiaji wa Maji kwa mkoa wa Dar es salaam wanaohudumiwa na DAWASCO.
Katika gazeti la Mzalendo lilikuwa na kichwa cha habari “Wengi Dar watumia maji yenye kinyesi” na upande wa gazeti la Majira lilibeba kichwa cha habari “Maji machafu yaathiri Dar”. Ndani ya habari hizo waandishi wameelezea shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO) kama moja ya...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA BUGURUNI WALALAMIKIA KUONGEZEKA KWA UCHAFU

Mwenyekiti wa serikali za mitaa Buguruni-Madenge, Mwishehe Mbegete akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Rundo la uchafu pembeni mwa nyumba.…

 

10 years ago

GPL

SOKO LA BUGURUNI: SHILINGI MIL.27 HUKUSANYWA KWA MWEZI, LAKINI HALI YA UCHAFU SOKONI HAPO NI HATARI

Na Makongoro Oging’
Soko la Buguruni ni moja kati ya masoko makubwa yanayotegemewa katika Jiji la Dar es Salaam kwa serikali kujipatia kipato pia wateja kujipatia mahitaji ya kila siku lakini cha kushangaza ni kwamba uchafu umekithiri. Muonekano wa soko la Buguruni. Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko hilo, Said Habibu Kondo amesema soko hilo lina wafanyabiashara 3,000 na kila mmoja hutozwa ushuru na manispaa kati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DAWASCO yadhibiti upotevu wa maji

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limeamua kudhibiti upotevu wa maji katika Jiji la Dar es Salaam ambao unawapunguzia mapato. Ofisa Uhusiano wa shirika hilo, Everlasting Lyaro,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasco yazima mitambo ya maji

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar...

 

9 years ago

Mwananchi

Dawasco yapandisha bei ya maji

Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), limeanza rasmi kutumia bei mpya za ankara za maji, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) kupitisha mapendekezo ya kupandisha bei kama walivyoomba.

 

10 years ago

GPL

MAJI YA CHEMBA YA UCHAFU YAZAGAA SOKONI MANZESE

Maji taka yakitiririka kutoka kwenye chemba. Eneo lililofikwa na maji hayo machafu. KUTOZINGATIWA kwa udhabiti wa mitaro jijini ni moja ya njia zinazozidisha uchafu jijini Dar es Salaam. Mfano mmojawapo ni chemba ya maji taka  ambayo imekuwa ikisambaza uchafu eneo la soko la Mazense, jijini Dar es Salaam, kwa kutoa maji machafu na yenye… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo la maji kubaki historia — Dawasco

DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji ambayo yamekuwa yakikua kwa kasi barani Afrika. Ukuaji huo umekuwa ukienda sambamba na ongezeko la idadi ya watu wanaokuja kutembea na kuishi jijini...

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi, Meneja wa Maji Dawasco watakiwa kujitathmini

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka watendaji wakuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (Dawasco), Mkurugenzi wa Maji na Meneja wa Maji kujitathmini na kuona kama wanafaa kufanya kazi hiyo ama waachie nafasi zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani