SOKO LA BUGURUNI: SHILINGI MIL.27 HUKUSANYWA KWA MWEZI, LAKINI HALI YA UCHAFU SOKONI HAPO NI HATARI

Na Makongoro Oging’ Soko la Buguruni ni moja kati ya masoko makubwa yanayotegemewa katika Jiji la Dar es Salaam kwa serikali kujipatia kipato pia wateja kujipatia mahitaji ya kila siku lakini cha kushangaza ni kwamba uchafu umekithiri. Muonekano wa soko la Buguruni. Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko hilo, Said Habibu Kondo amesema soko hilo lina wafanyabiashara 3,000 na kila mmoja hutozwa ushuru na manispaa kati ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAKAZI WA BUGURUNI WALALAMIKIA KUONGEZEKA KWA UCHAFU
10 years ago
MichuziUONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO
10 years ago
Michuzi
“HATUSAMBAZI MAJI YENYE UCHAFU BUGURUNI”- DAWASCO

Akizungumza na gazeti hili, Kaimu Meneja Uhusiano wa Dawasco , Bi Everlasting Lyaro alisema taarifa hizo za uzushi zimesambazwa na watu wachache ili kuchafua taswira ya shirika hilo na pia kuihusisha Dawasco moja kwa moja na mlipuko wa kipindupindu ulioingia...
10 years ago
GPLMAJI YA CHEMBA YA UCHAFU YAZAGAA SOKONI MANZESE
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
JK akumbushwa ahadi soko la Buguruni
MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Malapa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, Shehe Shuhuli, amemuomba Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi yake ya kuwajengea wafanyabiashara wa Buguruni soko jipya. Akizungumza...
11 years ago
GPL
GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!
10 years ago
Habarileo16 Nov
Jiji la Arusha hupoteza mil.60/- kwa mwezi
KAMATI Ndogo ya Madiwani ya Halmashauri ya Jiji la Arusha, imegundua kuwa Halmashauri ya Jiji la Arusha imekuwa ikipoteza zaidi ya Sh milioni 60 kwa mwezi.
9 years ago
Michuzi