Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!

Na Joseph Shaluwa na Musa Mateja
MARADHI yanayomsumbua mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ni tishio, Gazeti la Mastaa, Amani limeelezwa. Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa hoi hospitali. Ray C anaugua ugonjwa wa Homa ya Dengu ambao kitaalam hujulikana kama Dangue Fever. Ulibainika baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Hospitali ya Mkoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

JB:Tukikutna Tena Nitaweka Mil 10, Ray Aweke Mil 3!

“Kijana shupavu mjukuu wa Kigosi, bado sijamuona. Habari njema aliweka million yake ili ale million mbili, biashara nzuri sana hii nimeshakula mil 2 zako.sasa nakupa offer. tukikutana safari hii weka milion tatu naweka milion kumi. Lazima nikuvutie maana nimeambiwa hutaki tena changamka hutaki kukomboa hela zako???”-JB abandika andiko hili mtandaoni baada ya kuweka picha ya Ray.

Ray bado ajapatikana kujibu hii. Dah kufungwa noma sana.

 

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAKUKURU yaokoa mil 100/-

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya sh milioni 100 zilizokuwa zimeibwa na watumishi wa halmashauri za wilaya mkoani Tabora kati ya Januari na Novemba mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3




………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

11 years ago

Habarileo

Kigamboni kulipwa kuanzia mil. 100/-

WATU walio kwenye eneo la mradi wa uendelezaji wa Mji Mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, wamepangiwa viwango vya fidia ya Sh milioni 141 kwa ekari katika awamu ya kwanza.

 

10 years ago

Habarileo

Ofisi ya RC yavunja gofu kwa mil. 100/-

Modestus Kilufi OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kubaini kiasi cha Sh milioni 96.6 kimetumika kubomoa jengo bovu mali ya ofisi hiyo, ili kupisha ujenzi wa ofisi mpya za mkuu wa mkoa huo.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi waua waliotaka kupora mil. 100/-

Polisi jijini Arusha wamewaua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ikidaiwa walikuwa wakijiandaa kuiba kiasi cha Sh milioni 100 kutoka kwenye duka la utengenezaji na uuzaji wa vigae linalojulikana kwa jina la Arusha Islamic Center lililopo eneo la Esso.

 

11 years ago

GPL

YANGA YAINGIZA MIL 86/-, SIMBA MIL 53/-

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' (katikati) akipiga shuti wakati timu yake ikicheza na Rhino Rangers uwanja wa Taifa jana. Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zilizohusisha timu za Simba na Yanga na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wikiendi zimeingiza jumla ya sh. 139,850,000. Mrisho Ngassa wa Yanga (kushoto) akipiga mpira huku akizongwa na mchezaji wa Ashanti katika mechi yao uwanja wa Taifa juzi. Yanga… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani