Kigamboni kulipwa kuanzia mil. 100/-
WATU walio kwenye eneo la mradi wa uendelezaji wa Mji Mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, wamepangiwa viwango vya fidia ya Sh milioni 141 kwa ekari katika awamu ya kwanza.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru NewspaperWakazi Kigamboni kulipwa mamilioni
Thamani ya ekari moja ni milioni 141/- Ni fidia ya kupisha ujenzi wa mji mpya
NA TUMAINI MSOWOYA, DODOMA
WAKAZI wa Kigamboni, Dar es Salaam, ambao maeneo yao yatachukuliwa kwa ajili ya kupisha ujenzi wa mji mpya, watalipwa fidia ya shilingi milioni 141.6 kwa ekari moja.
Malipo hayo ni sawa na sh. 35,000 kwa mita moja ya mraba.
Malipo hayo yalitangazwa juzi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, alipokuwa akiwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na...
11 years ago
GPLGONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Kivuko Kigamboni chaingiza mil 17/- kwa siku
KIVUKO cha Magogoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa siku kinakusanya sh milioni 17.3 ambazo ni sawa na sh milioni 525.3 kwa mwezi, Bunge lilielezwa jana. Naibu Waziri wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
TAKUKURU yaokoa mil 100/-
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya sh milioni 100 zilizokuwa zimeibwa na watumishi wa halmashauri za wilaya mkoani Tabora kati ya Januari na Novemba mwaka...
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 45 ZA UCHIMBAJI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MJI MWEMA KIGAMBONI
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Dorice Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 45, kwa Mganga Mkuu wa Zahanati ya Mji Mwema, Kigamboni, Bw. Richard Mwita, zilizotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Omari Kombe (kushoto), Bi. Upendo Mwabulambo (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Mganga wa Manispaa ya Temeke, Bw. Shaidi Simba (wa pili kulia).
Mwakilishi Mkuu wa Mganga wa Manispaa ya...
11 years ago
Habarileo06 Jul
Polisi waua waliotaka kupora mil. 100/-
Polisi jijini Arusha wamewaua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ikidaiwa walikuwa wakijiandaa kuiba kiasi cha Sh milioni 100 kutoka kwenye duka la utengenezaji na uuzaji wa vigae linalojulikana kwa jina la Arusha Islamic Center lililopo eneo la Esso.
10 years ago
Habarileo07 May
Ofisi ya RC yavunja gofu kwa mil. 100/-
OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kubaini kiasi cha Sh milioni 96.6 kimetumika kubomoa jengo bovu mali ya ofisi hiyo, ili kupisha ujenzi wa ofisi mpya za mkuu wa mkoa huo.
9 years ago
GPLKAFULILA KUBURUZWA KORTINI, KUILIPA IPTL, PAP MIL 100
5 years ago
CCM BlogNMB YATOA MCHANGO WA SH. MIL 100 KWA SERIKALI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh....