Polisi waua waliotaka kupora mil. 100/-
Polisi jijini Arusha wamewaua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ikidaiwa walikuwa wakijiandaa kuiba kiasi cha Sh milioni 100 kutoka kwenye duka la utengenezaji na uuzaji wa vigae linalojulikana kwa jina la Arusha Islamic Center lililopo eneo la Esso.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Mar
Wavamia gesti na kupora mil 13/-
WATU wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha wamevamia nyumba ya kulala wageni kijijini Mtowisa Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga na kuwapora wafanya biashara ya ng'ombe zaidi ya Sh milioni 13 fedha taslimu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJA6h*SaGxqh6X31ZRZzXdQe5H7Yxsd7u0rvjtr5Cf*7wBPHT9v8ZiLlJ6aK6IdLnbhVzQWm0tZ0GEGO6EsOXOMs/gojwa.jpg?width=650)
GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!
10 years ago
Habarileo01 Dec
Majambazi waua, wapora mil 4/-
MKULIMA aliyeshambuliwa na kundi la majambazi na kuporwa zaidi ya Sh milioni 4 za Tanzania na Sh 37,00O za Kenya amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni Masanga.
10 years ago
Habarileo02 Jan
Majambazi waua, wapora mil 44/-
WATU wasiofahamika wamevamia na kumuua mlinzi wa jadi katika ofisi ya Chama cha Msingi cha Chikundi Amcoss kilichopo katika kijiji cha Mtunungu, kata ya Mwena tarafa ya Chikundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara na kufanikiwa kuiba Sh milioni 44, mali ya chama hicho.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3dvV13HeQ5bb0F9tg8YG1O*vpa4br90gseMnhiy8pXis1*5H92nxxPv-0T9sxmTNrE*swwNkql3QebPY4RWrlZi/3.jpg)
MLIPUKO WA BOMU WAUA 27 NA KUJERUHI 100 UTURUKI
10 years ago
CloudsFM31 Dec
11 years ago
Habarileo31 Jul
Polisi aliyetimuliwa kazi adakwa akijiandaa kupora
ASKARI Polisi aliyefukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu mwaka 2012 baada ya kukutwa na silaha katika ukumbi wa disko mkoani Kilimanjaro, James Marwa (26) amekamatwa na Polisi wa Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya akidaiwa kuwa katika harakati za kwenda kufanya uhalifu eneo la mgodi wa Nyamongo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBsILQRxPzpxX*Q4zBc8J6W5VqK7eI5kXQcwh3Cr8XnM8jUStTpAC4pcb2decSSr0kF6cTe44TNbzHbtTEwliBIn/a.jpg)
TALIBAN WAUA WATU 100 WAKIWEMO WATOTO 84 NCHINI PAKISTANI
10 years ago
Vijimambo04 Aug
MAJAMBAZI 4 YAUAWA NA POLISI MBEYA YAKIJARIBU KUPORA DUKANI
![](https://mmi240.whatsapp.net/d/wT5tz8FkWsZKIIUaMJCdMFW_qmo/Aqj1I905-4vIaHde0jEarIiwz395B3bmPmoAh1CMGf6w.jpg)
Leo hii majira ya saa 11:30hrs majambazi 4 wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda wakiripoti tukio hilo u jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano majambazi walizidiwa nguvu na waliokamatwa na bundiki zao mbaroni.
![](https://mmi230.whatsapp.net/d/mkaWnFgHi4uOYP0_Ks4wQVW_qmo/ArWB7LAY2svWiUyuKMdNpREUUiJRMEmBnut9lAhN7tB1.jpg)