Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi aliyetimuliwa kazi adakwa akijiandaa kupora

ASKARI Polisi aliyefukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu mwaka 2012 baada ya kukutwa na silaha katika ukumbi wa disko mkoani Kilimanjaro, James Marwa (26) amekamatwa na Polisi wa Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya akidaiwa kuwa katika harakati za kwenda kufanya uhalifu eneo la mgodi wa Nyamongo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vicky Kamata adakwa polisi

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata

MBUNGE wa Viti Maalumu, Vicky Kamatta (CCM), amekamtwa na Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuwatumia ujumbe mfupi wa simu za matusi wabunge wenzake.

Chanzo ncha kuaminika kutoka mjini Dodoma kiliambia MTANZANIA kuwa kwa kipindi cha miezi kadhaa Vicky amekuwa akituma sms za matusi kwa wabunge wenzake wa viti maalumu kupitia CCM, Catherine Magige na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui.

Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge hao walikuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi waua waliotaka kupora mil. 100/-

Polisi jijini Arusha wamewaua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ikidaiwa walikuwa wakijiandaa kuiba kiasi cha Sh milioni 100 kutoka kwenye duka la utengenezaji na uuzaji wa vigae linalojulikana kwa jina la Arusha Islamic Center lililopo eneo la Esso.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI 4 YAUAWA NA POLISI MBEYA YAKIJARIBU KUPORA DUKANI



Leo hii majira ya saa 11:30hrs majambazi 4 wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda wakiripoti tukio hilo u jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano majambazi walizidiwa nguvu na waliokamatwa na bundiki zao mbaroni.  KWA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM JUU YA KUTIWA MBARONI KWA WATUHUMIWA SUGU WA KUPORA RAIA WA KIGENI NA AKINA MAMA

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MREMBO AFA AKIJIANDAA KWENDA DUBAI

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
BINTI mmoja aliyefahamika  kwa  jina la Suzana Adamu (20), mkazi  wa Mazizini- Ukonga jijini Dar amefariki dunia kwa kugongwa na gari akitoka  kukamilisha taratibu za  viza kwa ajili ya kwenda  Dubai kufanya kazi. Ndugu wa marehemu Suzana Adamu wakilia kwa uchungu. Kwa mujibu wa  mashuhuda  wa ajali  hiyo, ilitokea Agosti Mosi, mwaka huu saa 2:30 ...

 

10 years ago

Mwananchi

Raia wa China akutwa na nyara akijiandaa kusafiri

Raia wa China, amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na kucha 10 za simba zenye thamani ya Sh8.3 milioni.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.

MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...

 

10 years ago

CloudsFM

Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo

Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.

Kwa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo aitwaye Ney Steve alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akimbembeleza Dully baada ya kupata taarifa hizo hivyo kushinda kupanda jukwaani. Picha hiyo iliambatana na maneno haya.. ney_steve Wakat unapanga lako Mungu nae anapanga lake.....Leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani