MAJAMBAZI 4 YAUAWA NA POLISI MBEYA YAKIJARIBU KUPORA DUKANI
Leo hii majira ya saa 11:30hrs majambazi 4 wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda wakiripoti tukio hilo u jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano majambazi walizidiwa nguvu na waliokamatwa na bundiki zao mbaroni. KWA PICHA...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Majambazi yauawa Mwanza
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Majambazi yaua polisi mpelelezi Mbeya
10 years ago
GPLMAJAMBAZI WAPORA BUNDUKI, WAITUMIA KUIBA PESA DUKANI
11 years ago
Habarileo30 Jul
Majambazi washtukiwa wakitaka kupora benki
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea kuwatafuta watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliofika katika Benki ya Stanbic tawi la Kariakoo juzi mchana kwa lengo la kufanya uporaji.
9 years ago
Habarileo07 Nov
Majambazi wavamia duka la M-Pesa na kupora fedha
VIJANA wawili wakiwa na silaha wamevamia duka la M-Pesa mjini Tabora na kumteka mhudumu wa duka hilo kabla ya kumwamuru atoe fedha zote alizokuwa nazo pamoja na simu anazotumia.
10 years ago
GPL
MAJAMBAZI WAUWA WAWILI NA KUPORA PESA ZA KAMPUNI YA BONITE MOSHI
10 years ago
GPL
MAJAMBAZI YAUA ASKARI NA KUPORA FEDHA BENKI YA NMB, MKURANGA
9 years ago
Bongo507 Dec
Majambazi wavamia na kupora nyumbani kwa rapper Big Sean

Nyumba ya rapper Big Sean wa Marekani ilivamiwa na majambazi wakati akiwa nje ya nchi.
Kwa mujibu wa TMZ, wezi hao walivunja nyumba yake iliyopo jijini Los Angeles na kuvunja sehemu palipokuwa pamehifadhiwa vitu vya thamani. Walipora vidani vya madini vyenye thamani ya $150,000 pamoja na nyimbo ambazo bado hazijatoka.
Sean na wenzake wanaamini kuwa wizi huo umefanywa na watu wa karibu. Wezi hao walijua kuwa rapper huyo hakuwepo na walikuwa wanaijua vyema nyumba yake. Hadi sasa hakuna...