MAJAMBAZI YAUA ASKARI NA KUPORA FEDHA BENKI YA NMB, MKURANGA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Mkuranga mkoani Pwani na kupora fedha kisha kumuua askari mmoja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafary Mohamed ameuthibitishia mtandao huu kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea eneo la tukio. "Taarifa hizo nimezipata kuwa watu hao wanaodhaniwa kuwa majambazi kuvamia Benki ya NMB, Mkuranga na kupora fedha ambazo kiasi chake bado...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Majambazi yaua polisi, yachota mamilioni NMB Mkuranga
11 years ago
Habarileo30 Jul
Majambazi washtukiwa wakitaka kupora benki
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea kuwatafuta watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliofika katika Benki ya Stanbic tawi la Kariakoo juzi mchana kwa lengo la kufanya uporaji.
9 years ago
Habarileo07 Nov
Majambazi wavamia duka la M-Pesa na kupora fedha
VIJANA wawili wakiwa na silaha wamevamia duka la M-Pesa mjini Tabora na kumteka mhudumu wa duka hilo kabla ya kumwamuru atoe fedha zote alizokuwa nazo pamoja na simu anazotumia.
11 years ago
CloudsFM18 Jun
MAJAMBAZI WAUAWA NA WANANCHI KATIKA JARIBIO LA KUPORA BENKI, DAR
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kutaka kupora fedha kwa mmoja wa wateja aliyekuwa ndani ya benki ya NMB tawi la uwanja wa ndege,wakiwa na pikipiki aina ya Boxer wameuawa na wananchi waliamua kujichukulia sheria mkononi,huku jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar-es-Salaam likiwashikilia watu watatu mmoja akiwa ni mganga aliyekuwa akiwatibu kwa nguvu za giza na kudai kuwapa nguvu.
Kamanda wa polisi kanda ya maalumu ya Dar-es-salaam,kamishana wa polisi Selemani...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Majambazi yaua, yapora fedha
NI kama sinema vile iliyochezwa na majambazi mawili katika mji wa Geita. Majambazi hayo, juzi yaliuteka mji wa Geita kwa takribani dakika 15 kwa mtutu wa bunduki na kupora fedha...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Majambazi yaua walinzi, yapora benki mbili Dar
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NK1Vd4M4CY4/VaNO0l-Ln7I/AAAAAAADxw8/tKwd--4WYe4/s72-c/d3a6748280f5d1b2dbbe7b28b94e1330.jpg)
BREAKING NEWS:MAJAMBAZI YAVAMIA KUTUO CHA POLISI UKONGA STAKI SHARI YAUA ASKARI NA RAIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-NK1Vd4M4CY4/VaNO0l-Ln7I/AAAAAAADxw8/tKwd--4WYe4/s640/d3a6748280f5d1b2dbbe7b28b94e1330.jpg)
Vijimambo iliongea na mmoja ya mkazi wa eneo hilo yeye alisema alisikia milio ya risasi mida ya saa 5 usiku karibu na nyumbani kwake lakini hafahamu kilichotokea. Mkazi mwingine wa Ukonga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na...