Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJAMBAZI WAUAWA NA WANANCHI KATIKA JARIBIO LA KUPORA BENKI, DAR

Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kutaka kupora fedha kwa mmoja wa wateja aliyekuwa ndani ya benki ya NMB tawi la uwanja wa ndege,wakiwa na pikipiki aina ya Boxer wameuawa na wananchi waliamua kujichukulia sheria mkononi,huku jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar-es-Salaam likiwashikilia watu watatu mmoja akiwa ni mganga aliyekuwa akiwatibu kwa nguvu za giza na kudai kuwapa nguvu.Kamanda wa polisi kanda ya maalumu ya Dar-es-salaam,kamishana wa polisi Selemani...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: majambazi wawili wauwawa katika jaribio la kupora pesa kariakoo, Dar es salaam usiku huu

 Askari polisi wakiwa wamepakia kwenye gari miili ya majambazi wawili waliouwawa baada ya mapambano ya risasi baada ya kutaka kupora pesa katika duka la Mpesa/Tigo Pesa/Airtel Money mtaa wa Mkunguni jijini Dar es salaam usiku huu. Chini ni umati uliokusanyika sehemu ya tukuio.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi washtukiwa wakitaka kupora benki

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea kuwatafuta watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliofika katika Benki ya Stanbic tawi la Kariakoo juzi mchana kwa lengo la kufanya uporaji.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI YAUA ASKARI NA KUPORA FEDHA BENKI YA NMB, MKURANGA

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Mkuranga mkoani Pwani na kupora fedha kisha kumuua askari mmoja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafary Mohamed ameuthibitishia mtandao huu kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea eneo la tukio. "Taarifa hizo nimezipata kuwa watu hao wanaodhaniwa kuwa majambazi kuvamia Benki ya NMB, Mkuranga na kupora fedha ambazo kiasi chake bado...

 

10 years ago

Africanjam.Com

MAJAMBAZI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUFANYA JARIBIO LA KUIBA BENKI

Majambazi wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi laPolisi jijini Dar baada ya kufanya jaribio la kuiba pesa kwenye benki ya NMB Sinza Mori. Pembeni ni wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo tarehe 18/09/2015 katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini...

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR

Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar. ...wakiwa chini ya ulinzi. Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo.…

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KATIKA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI NA POLISI

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wauawa katika mapambano ya kurushiana risasi na polisi wilaya ya Momba. 
Katika tukio hilo watu wanne wanaume wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa katika majibizano ya kurushiana risasi na Askari Polisi.

Tukio hilo limetokea Agusti 3, 2015 majira ya saa 09.00hrs eneo la Sogea, Kata na Tarafa ya Tunduma Wilaya ya Momba. 
Awali watu hao walivamia dukani kwa Thadeo Sanga (50), mfanyabiashara na wakala wa kuuza/kusambaza bia za TBL ,...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

9 years ago

Habarileo

Majambazi wavamia duka la M-Pesa na kupora fedha

VIJANA wawili wakiwa na silaha wamevamia duka la M-Pesa mjini Tabora na kumteka mhudumu wa duka hilo kabla ya kumwamuru atoe fedha zote alizokuwa nazo pamoja na simu anazotumia.

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yaua walinzi, yapora benki mbili Dar

Watu sita wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamewaua kwa risasi walinzi wawili wa benki mbili tofauti na kupora mamilioni ya fedha katika benki hizo, Chanika nje kidogo ya jiji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani