Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wavamia gesti na kupora mil 13/-

WATU wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha wamevamia nyumba ya kulala wageni kijijini Mtowisa Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga na kuwapora wafanya biashara ya ng'ombe zaidi ya Sh milioni 13 fedha taslimu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wavamia maduka Kibaha na kupora

HUKU ikiwa imepita wiki moja tangu mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Mahoro Mlelwa kupigwa risasi na majambazi na kufa eneo la Maili Moja wilayani Kibaha watu wenye silaha za jadi wamevamia maduka na kupora.

 

9 years ago

Habarileo

Majambazi wavamia duka la M-Pesa na kupora fedha

VIJANA wawili wakiwa na silaha wamevamia duka la M-Pesa mjini Tabora na kumteka mhudumu wa duka hilo kabla ya kumwamuru atoe fedha zote alizokuwa nazo pamoja na simu anazotumia.

 

9 years ago

Bongo5

Majambazi wavamia na kupora nyumbani kwa rapper Big Sean

big-sean

Nyumba ya rapper Big Sean wa Marekani ilivamiwa na majambazi wakati akiwa nje ya nchi.

big-sean

Kwa mujibu wa TMZ, wezi hao walivunja nyumba yake iliyopo jijini Los Angeles na kuvunja sehemu palipokuwa pamehifadhiwa vitu vya thamani. Walipora vidani vya madini vyenye thamani ya $150,000 pamoja na nyimbo ambazo bado hazijatoka.

Sean na wenzake wanaamini kuwa wizi huo umefanywa na watu wa karibu. Wezi hao walijua kuwa rapper huyo hakuwepo na walikuwa wanaijua vyema nyumba yake. Hadi sasa hakuna...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi waua waliotaka kupora mil. 100/-

Polisi jijini Arusha wamewaua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ikidaiwa walikuwa wakijiandaa kuiba kiasi cha Sh milioni 100 kutoka kwenye duka la utengenezaji na uuzaji wa vigae linalojulikana kwa jina la Arusha Islamic Center lililopo eneo la Esso.

 

11 years ago

GPL

MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI

MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu. Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Devi baada ya kufumaniwa na mke wa rafikiye. Mtoa habari makini aliliambia gazeti...

 

11 years ago

GPL

GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!

Na Joseph Shaluwa na Musa Mateja
MARADHI yanayomsumbua mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ni tishio, Gazeti la Mastaa, Amani limeelezwa. Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa hoi hospitali. Ray C anaugua ugonjwa wa Homa ya Dengu ambao kitaalam hujulikana kama Dangue Fever. Ulibainika baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Hospitali ya Mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3




………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani