Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3




………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA

Baadhi ya bidhaa zilizoteketezwa na Maofisa wakaguzi wa TFDA wilayani Sikonge.Maofisa wakaguzi wa TFDA kanda ya kati wakijiandaa kuteketeza bidhaa zilizoisha mda wake ikiwemo vinywaji wilayani Sikonge (picha na Allan Ntana).
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK ADAIWA KUNASWA NA PIPI 66 ZA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA MIL 215.5 CHINA

Mrembo anayedaiwa kuwa Jack Patrick (akiwa amefunikwa uso) mikononi mwa polisi nchini China baada ya kukutwa na pipi 66 za heroin tumboni. Mwanamitindo Jack Patrick.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama Shujaa wa Chakula 2015 Caroline Chelele, akabidhiwa rasmi zawadi za vifaa vya kilimo zenye thamani ya Tsh Mil.20 Ifakara

Mshindi wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Msimu wa nne Bi. Caroline Chelele aliyekaa kwenye Pawatila akifurahia zawadi zake, Muda mfupi baada ya kukabidhiwa.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombelo Bw. Yahya Naiya (wa pili kushoto) aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kilombelo akikata utepe kuashiria tukio la kumkabidhi zawadi rasmi mama shujaa wa chakula msimu wa nne 2015 Bi. Caroline Chelele, wa kwanza kushoto ni Mercy Minja Kaimu mkurugenzi wa wa mji wa Ifakara, wa tatu kutoka kulia ni...

 

9 years ago

Michuzi

nyara za serikali zenye thamani ya Tsh. Milioni 81 zadakwa pamoja na watuhumiwa 121


Na Lorietha Laurence - Maelezo.

JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Ofisi za Shirikisho la Polisi Duniani (Interpol)  kanda ya Kusini mwa Afrika,  imefanikiwa kukamata  nyara za serikali zenye thamani ya Tsh. Milioni 81 na watuhumiwa 121 wa makosa mbalimbali.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Oktoba 1, 2015),  Mkurugenzi wa  Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi,  Kamishna Diwani Athuman (pichani), alisema kuwa lengo la  operesheni hiyo ni...

 

11 years ago

GPL

ADAKWA NA MENO 21 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL 43 SINGIDA

JESHI la polisi mkoani Singida limekamata vipande 21 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 43.  Nyara hizo za serikali zimekamatwa katika kijiji cha Mwamagembe  wilayani Manyoni  zikisafirishwa kwenda Itigi, mkoani Singida.  Mtu mmoja  George James amekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na meno  hayo ya tembo yakiwa yamehifadhiwa katika mabegi mawili ya kusafiria.  Mtuhumiwa huyo alikamatwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Thamani ya Tanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani mil 1.2

picha mbiliKatibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo (wa kwanza kulia) akiangalia moja ya mashine zinazotumika katika shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Mirelani mkoani Manyara wakati alipotembelea eneo hilo mara baada ya kumaliza kikao kikao chake na Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ambazo zimeamua kufanya kazi kwa pamoja ili kudhibiti utoroshaji wa madini ya Tanzanite.picha mojaChambo akitembelea baadhi ya vitalu vya uchimbaji madini ya...

 

11 years ago

GPL

GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!

Na Joseph Shaluwa na Musa Mateja
MARADHI yanayomsumbua mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ni tishio, Gazeti la Mastaa, Amani limeelezwa. Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa hoi hospitali. Ray C anaugua ugonjwa wa Homa ya Dengu ambao kitaalam hujulikana kama Dangue Fever. Ulibainika baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Hospitali ya Mkoa...

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani