Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi waua, wapora mil 44/-

WATU wasiofahamika wamevamia na kumuua mlinzi wa jadi katika ofisi ya Chama cha Msingi cha Chikundi Amcoss kilichopo katika kijiji cha Mtunungu, kata ya Mwena tarafa ya Chikundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara na kufanikiwa kuiba Sh milioni 44, mali ya chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua, wapora mil 4/-

MKULIMA aliyeshambuliwa na kundi la majambazi na kuporwa zaidi ya Sh milioni 4 za Tanzania na Sh 37,00O za Kenya amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni Masanga.

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua, wapora

WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi waua mmoja, wapora

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa raia wa Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi, ambao pia walipora mali zenye thamani ya zaidi ya Sh.30 milioni.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi waua, wapora Sh milioni 20

WATU wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha aina ya Short gun wamepora kiasi cha Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change na kumpiga risasi mtu mmoja na kufa papo hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua, wapora fedha, simu

 Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro MambosasaKUNDI la watu zaidi ya 10 wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameua watu wawili, kujeruhi wengine kadhaa na kupora fedha za mauzo ya baa na simu katika mji wa Sirari.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi wapora, waua ndugu wawili

NDUGU wawili wameuawa na majambazi waliovamia baa eneo la Mwananyamala kwa Mama Zacharia, jijini Dar es Salaam na kupora mkoba uliokuwa na fedha zaidi ya Sh milioni mbili.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi waua mtawa, wapora fedha

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaMAJAMBAZI wamemuua kwa kumpiga risasi Mhasibu wa Kanisa Katoliki, Usharika wa Makoka, jijini Dar es Salaam, Sista Prisencia Kapuli na kisha kumpora fedha zinazokadiriwa kuwa zaidi ya Sh milioni 10 alizokuwa nazo.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi waua 3, wapora vocha, fedha

WATU watatu wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia jana katika matukio na maeneo tofauti ya wilaya za Kahama na Shinyanga mkoani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua wafanyakazi 2 Bonite, wapora mamilioni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Godfrey KamwelaWAFANYAKAZI wawili wa kampuni ya vinywaji baridi ya Bonite Bottlers ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wamekufa kwa kupigwa risasi na majambazi mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani