Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Kigamboni kulipwa mamilioni



 Thamani ya ekari moja ni milioni 141/-  Ni fidia ya kupisha ujenzi wa mji mpya
NA TUMAINI MSOWOYA, DODOMA
WAKAZI wa Kigamboni, Dar es Salaam, ambao maeneo yao yatachukuliwa kwa ajili ya kupisha ujenzi wa mji mpya, watalipwa fidia ya shilingi milioni 141.6 kwa ekari moja.
Malipo hayo ni sawa na  sh. 35,000 kwa mita moja ya mraba.
Malipo hayo yalitangazwa juzi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, alipokuwa akiwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ngula kulipwa mamilioni

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania, (Tucta) limetakiwa kumlipa Sh78 milioni aliyekuwa Katibu wa shirikisho hilo , Nestory Ngula, baada ya kuwashinda katika rufaa waliyoikata dhidi yake mwaka jana.

 

10 years ago

GPL

SIMBA KULIPWA MAMILIONI

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeiagiza Etoile du Sahel kulipa kitita cha dola 300,000 (zaidi ya milioni 500) pamoja na faini. Fifa imeitaka klabu hiyo ya Sousse nchini Tunisia kuhakikisha inalipa fedha hizo ndani ya mwezi mmoja pamoja na faini ya dola 28,000. Hatua hiyo imefikia baada ya Simba kushinda kesi iliyotokana na Simba kushitaki kwa Fifa baada ya Etoile kushindwa kulipa fedha za malipo ya kumnunua Emmanuel Okwi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni

pix 1

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni  jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.

pix 2

Mtendaji  Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...

 

11 years ago

Habarileo

Kigamboni kulipwa kuanzia mil. 100/-

WATU walio kwenye eneo la mradi wa uendelezaji wa Mji Mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, wamepangiwa viwango vya fidia ya Sh milioni 141 kwa ekari katika awamu ya kwanza.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakazi Kigamboni wataka viwanja

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Somangila, Kigamboni wilayani Temeke, wameikumbusha Serikali ahadi yao ya kupewa viwanja baada ya kupisha uwekezaji wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Avic.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kigamboni waondolewa hofu

WIZARA ya Ujenzi imewatoa hofu wananchi wanaotumia vivuko vya Magogoni na Kigamboni kuwa hitilafu iliyotokea juzi ya kukatika kwa mlango wa kivuko ni ya kiufundi. Akizungumza na Tanzania Daima, Ofisa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mamilioni ya wakazi wa Beijing waamriwa kutotoka nje ya jiji

Shule zimefungwa tena na usafiri kusitishwa huku mji wa Beijing ukithibitisha watu 31 wa ugonjwa wa Covid-19.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI KIGAMBONI WACHANGAMKIA BIMA YA MATIBABU YA SH. 1000/= KWA SIKU

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja akimfungulia akaunti ya Bima ya Matibabu, Bi. Saada Ramadhani Mkazi wa Yale Yale Puna – Kigamboni, Dar es Salaam, Katika hafla ya kuwahamasisha wakazi hao kujiunga na Bima ya Matibabu inayotolewa kwa Shilingi 1000 kwa siku kwa ushirikiano na AAR, Inayowezesha familia nzima kupata matibabu katika hospitali zote na kununua madawa katika maduka yaliyopendekezwa. Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, Akimsomea...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua Kiota kipya Mji Mwema Kigamboni

  Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akikata utepe kufungua rasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni. Kiota hicho kinaitwa  Fursat Dhahabiyya.
 Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Mwonekano wa Ndani wa Kiota Hicho

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani