Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngula kulipwa mamilioni

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania, (Tucta) limetakiwa kumlipa Sh78 milioni aliyekuwa Katibu wa shirikisho hilo , Nestory Ngula, baada ya kuwashinda katika rufaa waliyoikata dhidi yake mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMBA KULIPWA MAMILIONI

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeiagiza Etoile du Sahel kulipa kitita cha dola 300,000 (zaidi ya milioni 500) pamoja na faini. Fifa imeitaka klabu hiyo ya Sousse nchini Tunisia kuhakikisha inalipa fedha hizo ndani ya mwezi mmoja pamoja na faini ya dola 28,000. Hatua hiyo imefikia baada ya Simba kushinda kesi iliyotokana na Simba kushitaki kwa Fifa baada ya Etoile kushindwa kulipa fedha za malipo ya kumnunua Emmanuel Okwi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wakazi Kigamboni kulipwa mamilioni



 Thamani ya ekari moja ni milioni 141/-  Ni fidia ya kupisha ujenzi wa mji mpya
NA TUMAINI MSOWOYA, DODOMA
WAKAZI wa Kigamboni, Dar es Salaam, ambao maeneo yao yatachukuliwa kwa ajili ya kupisha ujenzi wa mji mpya, watalipwa fidia ya shilingi milioni 141.6 kwa ekari moja.
Malipo hayo ni sawa na  sh. 35,000 kwa mita moja ya mraba.
Malipo hayo yalitangazwa juzi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, alipokuwa akiwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na...

 

10 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY ENGINEER DAVID E.P. NGULA

Leo ni siku ya kuzaliwa Mhandisi David E.P.Ngula. Familia yake, ndugu, jamaa, marafiki na majirani wanamtakia Heri ya Siku hii na kumuombea kwa Mungu ambariki afya njema katika maisha yake ili apate kuzima  mishumaa mingi zaidi. 

 

9 years ago

Habarileo

Simba haibabaishwi na wa kulipwa

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope ametamba kwamba ababaishwi na wachezaji kutoka nje wanaosajiliwa na wapinzani wao Yanga kwani ni kawaida yao kufanya hivyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waliostaafishwa Tazara kulipwa

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeiamuru Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kuwalipa fidia wafanyakazi wake wa zamani 271 kutokana na kuwastaafisha kwa lazima.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waombolezaji wa Kulipwa Kenya

Kila Alhamisi na Ijumaa,waombolezaji mjini Kisumu, Kenya, huzuzua uma wa mbinu zao za kuwaaga wapendwa wao

 

10 years ago

Habarileo

TAZARA washukuru kulipwa

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameshukuru kulipwa mishahara yao ya miezi minne, lakini wametoa siku saba kwa mamlaka hiyo kuwalipa mishahara yao iliyobaki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Lampard kulipwa mshahara wake

Manchester City watamlipa Frank Lampard mshahara wake wote wakati akimalizia muda wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani