Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara

MSTAHIKI Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni. Mstahiki  Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo wa kisasa. Meya  Mwenda alisema hayo alipokuwa akikabidhi vizimba vya soko hilo kwa wafanya biashara ndondogo waishio...

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA KINONDONI, YUSUPH MWENDA ATWAA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi cheti cha Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la Afrika Kundi la Majiji ya Kati (Medium Size Cities) kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda katika hafla iliyo zilizotolewa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (UCLGA), Dar es Salaam jana.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi Tuzo ya Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la...

 

9 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA YA KINONDONI ANAYEMALIZA MUDA WAKE YUSUPH MWENDA AZINDUA UZIO WA KISASA SHULE YA MSINGI MIKOCHENI A NA KUWAAGA RASMI WANANCHI WA KATA HIYO

 Meya wa Manispaa ya Kinondoni anayemaliza muda wake, Yusuph Mwenda (wa pili kushoto) akifuatilia kwa makini matukio ya sherehe hizo sambamba na watendaji.  Vijana wa timu za Kata hiyo wakichuana katika bonanza la sherehe hizo.Mwimbaji wa nyimbo za mipasho, Isha Mashauzi akitumbuiza katika bonanza la sherehe za uzinduzi wa uzio wa kisasa wa Shule ya Msingi Mikocheni A, Manispaa ya Kinondoni mwishoni mwa wiki.
(PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA WETU)KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Mwananchi

Muheza kuanza kutumia soko jipya

Zaidi ya wakazi 13,513 wa Kata za Genge na Majengo, Mjini Muheza wanatarajiwa kutumia soko jipya la bidhaa lililofunguliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI SOKO LA MAWASILIANO SIMU 2000

Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akiwa na watendaji wa soko hio wakikagua vizmba kabla ya kuwakabidhi wafanya biashara.Meya wa Manispaa ya Kinondoni akiongea na wafanyabiashara wa soko la simu 2000


Na Mwandishi wetu
MSTAHIKI  Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda  amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni.
Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano ...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MABIBO WAMLILIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI

Mkuu wa Wialaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda akikagua Mazingira ya Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo akiwa ameambatana na Viongozi wa wafanyabiashara wa soko hilo  alipofika kusikiliza kilio chao. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ametembelea Soko hilo baada ya viongozi wa soko hilo kufikisha kilio chao cha muda mrefu  kwake.Wafanyabiashara hao kilio chao kikubwa kwa Mkuu wa wilaya hawajui hatma ya biashara yao Sokoni hapo kwa kuwa  eneo wanalofanyia biashara sio rasmi kwajili ya soko bali...

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MABIBO WAMLILIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI‏


Mkuu wa Wialaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda akikagua Mazingira ya Soko la ndizi la Lililopo Mabibo akiwa ameambatana na Viongozi wa wafanyabiashara wa soko hilo leo alipofika kusikiliza kilio chao.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ametembelea Soko hilo leo mara baada ya viongozi wa soko hilo kufikisha kilio chao cha muda mrefu  kwake na Ndipo alipoamua kufika mara moja kuwasikiliza.Wafanyabiashara hao kilio chao kikubwa kwa Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MWENDA WA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA

Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda Tuzo ya Meya Bora katika Bara la Afrika katika kundi la Majiji ya Kati na kuyabwaga majiji mengine mbalimbali.
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (The United Cities and Local Government of Africa- UCLGA) na kupewa jina la Rais wa Angola ‘President Jose Eduardo Dos Santos- Africa Mayors Award’ ni za mara ya kwanza kufanyika Barani Afrika.
Tofauti na Tuzo za Tanzania,...

 

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA

Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt,Samuel Razalo.
 Na EmanuelMadafa, MbeyaHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika  kuhakikisha  mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa kikamilifu kwa kufuata  taratibu za serikali sanjali na mikataba  iliyoingia na benki ya CRDB  kwa kipindi cha miaka 15.
Mradi  huo wa soko la kimataifa la Mwanjelwa lililopo jijini Mbeya  ujenzi wake imefikia  asilimia 99 hivyo upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.
Akizungumza  ofisini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani