WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MABIBO WAMLILIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI
Mkuu wa Wialaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda akikagua Mazingira ya Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo akiwa ameambatana na Viongozi wa wafanyabiashara wa soko hilo alipofika kusikiliza kilio chao. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ametembelea Soko hilo baada ya viongozi wa soko hilo kufikisha kilio chao cha muda mrefu kwake.Wafanyabiashara hao kilio chao kikubwa kwa Mkuu wa wilaya hawajui hatma ya biashara yao Sokoni hapo kwa kuwa eneo wanalofanyia biashara sio rasmi kwajili ya soko bali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAFANYABIASHARA WA SOKO LA MABIBO WAMLILIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bcDBzAwLtz4/U8fodb2IkvI/AAAAAAAF3Fg/dGKIFifaX5A/s72-c/unnamed.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana azindua rasmi utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi Wilaya ya Kinondoni
![](http://3.bp.blogspot.com/-bcDBzAwLtz4/U8fodb2IkvI/AAAAAAAF3Fg/dGKIFifaX5A/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XBuQl9DVg6E/U8foeFB_gCI/AAAAAAAF3Fk/Js-pE7P8knQ/s1600/unnamed+(1).jpg)
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZINDUA MPANGO WA KUWAINUA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SANAA UJULIKANAO KINONDONI TALENT SEARCH
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-I9vfyf3mGko/VZvY7QMaKCI/AAAAAAAHnjo/EVLp8MzLMyM/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
9 years ago
StarTV10 Nov
Mkuu wa wilaya wa Kinondoni asifia utendaji  wa Polisi katika uchaguzi mkuu.
Jeshi la Polisi Tanzania limepongezwa kwa kazi nzuri ya ulinzi wa raia na mali zao hususani katika kipindi cha kampeni za uchaguzi hadi kupiga kura.
Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya hiyo, Paul Makonda katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya polisi Oysterbay Kinondoni Jijini Dar es salaam.
Mkuu huyo wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema askari wa jeshi la Polisi nchini, wanafanya kazi katika...
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYA YA KINONDONI MKUU WA WILAYA ATANGAZA AJIRA YA PAPO KWA PAPO
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP