Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muheza kuanza kutumia soko jipya

Zaidi ya wakazi 13,513 wa Kata za Genge na Majengo, Mjini Muheza wanatarajiwa kutumia soko jipya la bidhaa lililofunguliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA

Mashabiki wa Yanga wakiwa katika uzinduzi wa tawi lao wilayani Muheza, Tanga.…

 

9 years ago

Michuzi

SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

 

10 years ago

GPL

MCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST‏

  Mfanyabiashara  wa Soko la Jipya  la Kawe,  Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni  ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.  Meneja Biashara wa… ...

 

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA

Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt,Samuel Razalo.
 Na EmanuelMadafa, MbeyaHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika  kuhakikisha  mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa kikamilifu kwa kufuata  taratibu za serikali sanjali na mikataba  iliyoingia na benki ya CRDB  kwa kipindi cha miaka 15.
Mradi  huo wa soko la kimataifa la Mwanjelwa lililopo jijini Mbeya  ujenzi wake imefikia  asilimia 99 hivyo upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.
Akizungumza  ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara

MSTAHIKI Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni. Mstahiki  Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo wa kisasa. Meya  Mwenda alisema hayo alipokuwa akikabidhi vizimba vya soko hilo kwa wafanya biashara ndondogo waishio...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa kiforodha

 Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki amesema Tanzania itaanza jaribio la kutumia mfumo wa kiforodha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (SCT) ifikapo Mei 25 mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

TBS KUANZA KUTUMIA MAABARA YA NYEGEZI MWANZA KUPIMA SAMPULI ZA VYAKULA.

 Shirika la Viwaango Tanzania (TBS) litaanza kutumia maabara ya uvuvi ya Nyegezi  Mwanza (National Fish Quality Control Laboratory-NFQCL) katika upimaji wa sampuli za  chakula zinazochukuliwa kwenye viwanda na  masoko.

Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dkt Athuman Ngenya ameyasema hayo leo wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa WIizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe aliyeambatana na Naibu wake Mhe. Ludovick Nduhiye, katika ofisi za TBS jijini Mwanza.

Dkt. Ngenya amesema kwa sasa TBS  na NQCL zipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani