Tanzania kuanza kutumia mfumo wa kiforodha
 Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki amesema Tanzania itaanza jaribio la kutumia mfumo wa kiforodha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (SCT) ifikapo Mei 25 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog24 Apr
Tanzania kuanza kutumia mfumo wa “electronic single window system” June 2014
Tanzania iko katika hatua muhimu ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, makati bio ya mfumo huu yataanza mwezi June 2014, utarahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania … Mradi huu ni sehemu ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa ( Big Result Now) unasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa niaba ya wadau wote na utanufaisha watumiaji wa bandari zetu zote, viwanja vya ndege, mipaka yote ya Tanzania. Mfumo huu unatarajiwa kupunguza muda wa...
11 years ago
Michuzi24 Apr
Tanzania kuanza kutumia mfumo wa "electronic single window system" mwezi Juni 2014
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yatangaza kuacha kugharamia vikao kazi kwa watendaji wake, kuanza kutumia mfumo wa Video Conference
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mawasiliano kwa njia ya video serikalini (video conferencing) katika mkutano uliofanyika Idara ya Habari (Maelezo). Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Rais-Utumishi. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Senkondo (wa pili kutoka kushoto),Mkurugenzi wa TEHAMA Bw.Priscus Kiwango (kushoto) na kulia ni...
9 years ago
MichuziNAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo atoa siku 27 kwa wakurugenzi wa halmashauri nchini kuanza kutumia mfumo wa kielekroniki
9 years ago
Habarileo14 Oct
NEC kutumia mfumo mpya
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutumia mfumo mpya wa kielektroniki katika kujumlisha matokeo ya kura kwa lengo la kuondoa makosa mbalimbali ya kibinadamu, yanayoweza kutokea kwa bahati mbaya wakati wa kujumlisha matokeo hayo katika uchaguzi mkuu.
11 years ago
Habarileo21 Dec
Waaswa kutumia mfumo mpya kufunza ujasiriamali
WAKUU wa vyuo vya ufundi vya serikali na binafsi nchini wametakiwa kutumia mfumo mpya wa ufundishaji wa somo la ujasiriamali ambao unafundisha kinadharia tofauti na ilivyokuwa hapo awali.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7xv7bxSe4jI/VCvhCKk38PI/AAAAAAAGm-k/N5U-OqyJ9HA/s72-c/PIX%2B9.JPGG.jpg)
Watanzania washauriwa kutumia mfumo wa KAIZEN kuleta tija
![](http://4.bp.blogspot.com/-7xv7bxSe4jI/VCvhCKk38PI/AAAAAAAGm-k/N5U-OqyJ9HA/s1600/PIX%2B9.JPGG.jpg)
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Nchi inaibiwa kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Muheza kuanza kutumia soko jipya