Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC kutumia mfumo mpya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutumia mfumo mpya wa kielektroniki katika kujumlisha matokeo ya kura kwa lengo la kuondoa makosa mbalimbali ya kibinadamu, yanayoweza kutokea kwa bahati mbaya wakati wa kujumlisha matokeo hayo katika uchaguzi mkuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waaswa kutumia mfumo mpya kufunza ujasiriamali

WAKUU wa vyuo vya ufundi vya serikali na binafsi nchini wametakiwa kutumia mfumo mpya wa ufundishaji wa somo la ujasiriamali ambao unafundisha kinadharia tofauti na ilivyokuwa hapo awali.

 

11 years ago

Dewji Blog

NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)

jaji..3

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).

MWENYKIT

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.

Lengo la...

 

9 years ago

Michuzi

SELCOM YALETA MFUMO MPYA NA WA KISASA WA MALIPO YA TIKETI ZA TAMASHA LA “KILIFEST” KWA KUTUMIA “SELCOM CARD”

Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wahudhuriaji wa tamasha la ‘KiliFest’ wataweza kutumia Selcom Card kupata tiketi za tamasha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambalo litafanyika siku ya Jumamosi September  26, 2015 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam.
Kati ya mawakala wa Selcom zaidi ya 15,000 wanaopatikana nchi nzima ni mawakala 40 tu wameochaguliwa kuuza tiketi za KiliFest kwenye vituo vyao na wote hao wanapatikana Dar es salaam. 
Baada...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa kiforodha

 Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki amesema Tanzania itaanza jaribio la kutumia mfumo wa kiforodha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (SCT) ifikapo Mei 25 mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

NEC yafafanua mfumo wa uandikishaji

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mfumo mpya wa uandikishaji wa wapiga kura wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR), utatumika kwa ajili ya kuandikisha wapiga kura tu, si kwa ajili ya upigaji kura kielektroniki.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi inaibiwa kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi

Sakata la wafanyabiashara kufunga maduka kwa siku kadhaa katika baadhi ya miji nchini wakipinga matumizi ya Mashine za Risiti za Kieletroniki (EFD) limeelezwa kukumbwa na vikwazo kutoka kwa baadhi ya vigogo kunufaika na mashine hizo.

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania washauriwa kutumia mfumo wa KAIZEN kuleta tija

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka (wa pili kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA, Prof. Samuel Wangwe (kulia) wakati wa mkutano wa Taasisi ya Maafisa Wakuu Watendaji (CEOs Round Table) katika semina kuhusu umuhimu wa kutumia utaratibu huo wa KAIZEN kuchochea maendeleo Jumanne jijini Dar es Salaam.  Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Bw. Uledi Musa na Muwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Japan (JICA) Tanzania, Bw. Yasunori...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Wanasiasa acheni kutumia majukwaa vibaya

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka viongozi wa vyama vya siasa kuacha kutumia majukwaa vibaya katika muda uliobaki badala yake wanadi sera zao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa “electronic single window system” June 2014

Tanzania iko katika hatua muhimu ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, makati bio ya mfumo huu yataanza mwezi June 2014, utarahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania … Mradi huu ni sehemu ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa ( Big Result Now) unasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa niaba ya wadau wote na utanufaisha watumiaji wa bandari zetu zote, viwanja vya ndege, mipaka yote ya Tanzania. Mfumo huu unatarajiwa kupunguza muda wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani