Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC: Wanasiasa acheni kutumia majukwaa vibaya

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka viongozi wa vyama vya siasa kuacha kutumia majukwaa vibaya katika muda uliobaki badala yake wanadi sera zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini acheni kuwatembeza wanasiasa’

Viongozi wa dini wametakiwa kuepuka kutumiwa kama wafanyabiashara wa kuwauza wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, hasa urais.

 

11 years ago

Habarileo

LHRC: Wanasiasa acheni lugha chafu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeomba Msajili wa Vyama vya Siasa, kukaa na vyama vya siasa na kuvitaka viache kutoa lugha ya vitisho, kashfa na ubaguzi wa kijinsia kwenye mikutano ya kampeni.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaotukana, kutumia vibaya mitandao kukiona

WIZARA ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia imeamua kudhibiti wanaotumia vibaya mitandao kwa kuweka picha zisizo na maadili kwa jamii, wanaotumia lugha ya matusi na wanaoiba kupitia mitandao.

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA MSIKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA BAADHI YA WANASIASA KWA FAIDA YA WACHACHE-MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVIJANA wametakiwa kutokubali kutumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa  kwa maslahi ya watu wachache huku hao wanaowatumia wanasonga mbele kimaendeleo na wao wanazidi kurudi nyuma.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  kijiji cha Kikomolela kilichopo  jimbo la Mchinga na mtaa wa Likotwa uliopo Jimbo la Lindi mjini waliohudhuria kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais...

 

11 years ago

Habarileo

JK azuia vigogo kutumia vibaya wodi za Moyo

RAIS Jakaya Kikwete ameuonya Uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), kutowafumbia macho na kuwaruhusu watu maarufu nchini, kutumia vibaya wodi za kisasa za Kituo kipya cha Upasuaji wa Moyo, Matibabu na Mafunzo cha hospitali hiyo.

 

10 years ago

Bongo5

Steve Nyerere azungumzia tuhuma za kutumia cheo vibaya kuwanyonya wasanii wenzake

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere amezungumzia madai ya kuwa anatumia vibaya madaraka na kuwanyonya wasanii wenzie sababu iliyofanya aliyekuwa katibu mkuu, William Mtitu ajiuzulu wadhifa wake. Akizungumza na Bongo5 leo, Steve amesema kuwa kuna baadhi ya wasanii wa umoja huo wamekuwa wakimuonea wivu. “Kwenye akaunti ya bongo movie kuna hela? Kwamba kiongozi aliyepita […]

 

10 years ago

Habarileo

NEC, wanasiasa kujadili daftari la wapigakura

 James Mbatia WAKATI Uandikishaji katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu ya wiki ijayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inakutana na Vyama vya siasa kujadili mchakato huo.

 

9 years ago

Habarileo

Wanasiasa waonywa kuingilia kazi za NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka viongozi wa vyama vya siasa na serikali kuitoingilia mchakato wa kusimamia na kuendesha uchaguzi, bali wawaache maofisa wa Tume hiyo kufanya kazi yao.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yataka hospitali binafsi kuacha kutumia vibaya fedha za Mfuko wa Taifa wa Bima za Afya.

Na Magreth Kinabo- MAELEZO
Serikali imepiga marufuku tabia ya baadhi ya hospitali au taasisi binafsi za afya kuwapima wagonjwa wanaotoka hospitali za Serikali vipimo ambavyo hawakuagizwa kuvipima na madaktari kutoka hospitali hizo kwani kufanya hivyo ni kuiongezea Serikali gharama  zisizo la lazima.
Tamko hilo limetolewa na Naibu  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi  Kigwangala wakati alipofanya ziara ya kutembelea leo kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani