VIJANA MSIKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA BAADHI YA WANASIASA KWA FAIDA YA WACHACHE-MAMA SALMA KIKWETE
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVIJANA wametakiwa kutokubali kutumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa kwa maslahi ya watu wachache huku hao wanaowatumia wanasonga mbele kimaendeleo na wao wanazidi kurudi nyuma.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa kijiji cha Kikomolela kilichopo jimbo la Mchinga na mtaa wa Likotwa uliopo Jimbo la Lindi mjini waliohudhuria kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Oct
Jaji Mutungi: Redio jamii msikubali kutumiwa ‘kijinga’ na wanasiasa
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amezitaka redio za jamii kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa vinavyotumia unyonge wa Watanzania kiuchumi kujinufaisha kisiasa.
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA ELIMU NA AFYA KWA VIJANA DUNIANI ULIOANDALIWA NA TAASISI YA MAMA SARAH BROWN
9 years ago
Michuzi11 Oct
ZITUNZENI KADI ZENU ZA KUPIGIA KURA MSIKUBALI KUZIBADILISHA NA KITU CHOCHOTE - MAMA SALMA KIKWETE
Mwito huo umetolewa hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Nyengedi na Mandawa vilivyopo katika majimbo ya Mtama na Ruangwa waliohudhuria mkutano wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za...
10 years ago
Habarileo13 Jun
‘Vijana kataeni kutumiwa na wanasiasa’
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora mjini, Moshi Nkonkota ameshauri vijana kujitambua na kutokukubali kutumika kama daraja na wanasiasa wabinafsi katika kutafutia uongozi.
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA TAMASHA LA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Lindi msikubali kudanganyika — Mama Salma
WAKAZI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kutodanganyika na kundi la watu wachache wanaotaka kuvuruga amani iliyopo bali waitunze na kuhakikisha haipotei kwani ikitoweka hao wanaowadanyanga watakimbia na kuwaacha wakiteseka. Wito...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA ELIMU: KUWAWEZESHA VIJANA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KIAFYA BARANI AFRIKA