MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA TAMASHA LA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo akimpokea Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete wakati alipowasili kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya Sekondari Nyamisati iliyoko wilayani Rufiji kwa helicopter tarehe 2.5.2015. Mama Salma alikwenda Rufiji kwenye tamasha la Elimu ya Afya ya Uzazi kwa vijana katika Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama ambayo inamilikiwa na Taasisi ya WAMA ambapo Mkuu wa Mkoa wa Pwani alikuwa Mgeni Rasmi.
Mke wa Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama
Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATILIANA SAINI MKATABA WA UPANUZI WA SHULE YA WAMA-NAKAYAMA NA BALOZI WA JAPAN HAPA NCHINI
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA ELIMU NA AFYA KWA VIJANA DUNIANI ULIOANDALIWA NA TAASISI YA MAMA SARAH BROWN
9 years ago
Dewji Blog30 Oct
TANGAZO- Nafasi za kujiunga na kidato cha Kwanza- Shule za Sekondari WAMA NAKAYAMA na WAMA SHARAF
TANGAZO NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2016.doc
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2GPuD28HkY4/VjLwR4bkI0I/AAAAAAAIDcw/_fUmPkoXckc/s72-c/w1.png)
NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA- SHULE ZA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA RUFIJI NA WAMA SHARAF LINDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-2GPuD28HkY4/VjLwR4bkI0I/AAAAAAAIDcw/_fUmPkoXckc/s640/w1.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-A-uJIafh4vE/VjLwODce8dI/AAAAAAAIDck/ZkfUJkYcX8I/s640/w2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-NFonGVfxtXg/VjLwN3KG1rI/AAAAAAAIDcg/B8VLKW-Au1Y/s1600/w.jpg)
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha kwanza kwa wasichana katika Shule zake mbili za Sekondari:
(1) Shule ya Sekondari WAMA - Nakayama iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani:(2) Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf iliyopo Mitwero katika Manispaa ya Lindi
WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma...
10 years ago
Michuzi12 Nov
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE YA KUTIMIZA MWAKA VIKUNDI VYA WAMA HUKO NACHINGWEA/AKABIDHI MADAWATI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eIqjdani8g8/U5YJ8f0XT1I/AAAAAAAFpWs/VSlubaL8fmc/s72-c/Mama-Kikwete.jpg)
Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama wapewa msaada wa basi
![](http://3.bp.blogspot.com/-eIqjdani8g8/U5YJ8f0XT1I/AAAAAAAFpWs/VSlubaL8fmc/s1600/Mama-Kikwete.jpg)
Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama inayomilikiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepatiwa msaada wa basi na kampuni ya Ashok Leyland ya jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano ya basi hilo yamefanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo iliyopo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Akiongea mara baada ya makabidhiano hayo Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete aliwashukuru viongozi wa kampuni hiyo kwa msaada walioutoa na kusema anaamini msaada huo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DYAXI7FmxnE/VBgU-zEn4ZI/AAAAAAAGj4U/besM7rpXFT8/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
WAMA KWA KUSHIRIKIANA NA UNICEF WAANDAA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SEKONDARI WAMA-NAKAYAMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-DYAXI7FmxnE/VBgU-zEn4ZI/AAAAAAAGj4U/besM7rpXFT8/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-8QL4Pcx-Dls/VBgU-gFh7bI/AAAAAAAGj4M/bFyLU7ndhpQ/s1600/unnamed%2B(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--Dkuds_hK0U/VBgU-4ONw-I/AAAAAAAGj4Q/lvf55quPn6o/s1600/unnamed%2B(42).jpg)